expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>
KTMA 2014 TOUR KUAANZA RASM MEI 24 MWAKA HUU
Hatimaye
Kilimanjaro Music Tour 2014 imezinduliwa rasmi.Meneja wa Kili, George
Kavishe amesema ziara hii itahusisha mikoa ya Moshi, Mwanza, Kigoma,
Kahama, Iringa, Mbeya, Dodoma, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam.
Ziara itazinduliwa rasmi mkoani Kilimanjaro Mei 24 katika uwanja wa Ushirika.
No comments:
Post a Comment