expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Sunday, May 18, 2014

AUWAWA KWA KULIPUKUKIWA NA MTUNGI WA GES...SOMA ZAID



Huko wilayani Sengerema katika kijiji kilabela Mkoani Mwanza Kijana Moja ambaye amefahamika kwa jina Moja la James ameauwawa kwa kulipukiwa na Mtungi wa ges

 Kijana huyo ambaye ni mwendesha bodaboda ameuwawa baada yakulipukiwa na mtungi wa ges kisha mwili wake ulilushwa juu na kurudi chini vipande vipande huku kichwa kikibakia ni hatari pichani ni eneo la tukio ambapo nyumba hiyo imehalibiwa na mlipuko pia watu wakitizama vipande vya mwili

 Aidha baba wa mhusika wa mitungi hiyo amejeluhiwa pia yupo ddh kwa matibabu zaidi.

No comments:

Post a Comment