expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>
Showing posts with label Music. Show all posts
Showing posts with label Music. Show all posts

Sunday, January 26, 2014

HIZI NDIZO SABABU ZILIZOMFANYA MAKAMUA KUWA KIMYA.


Makamua,Q jay na Joselin waliwahi kuwa pamoja kikazi na kundi lao la Wakali kwanza ambapo baadae  zilitoka taarifa za kuokoka kwa Q jay na kuachana na muziki,japo kuna taarifa ambazo si rasmi zimetoka kwamba Q jay kwa sasa ameanza kuandaa nyimbo za Gospel so watu wajiandae kumpokea upande huo.