Chelsea imetanganza rasmi kumwachia kiungo wake veteran Frank Lampard na sasa yuko huru kujiunga na timu yoyote.
Mwanzoni kulikuwa na matumaini kuwa Chelsea na Lampard wengefikia mafanikio ya kuongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja lakini hilo sasa halipo.
Chelsea inaamini ni wakati muafaka wa kusitisha huduma za kiungo huyo atakaichezea England kwenye michuano ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil.
Mwingine amabaye naye hahitajiti tena Chelsea Mshambuaji wa Cameroun Samuel Etoo
No comments:
Post a Comment