DJ RODGER
ABM RADIO
Showing posts with label BURUDANI. Show all posts
Showing posts with label BURUDANI. Show all posts
Monday, June 30, 2014
Friday, June 20, 2014
Saturday, June 14, 2014
Thursday, June 12, 2014
KWELI DIVA WA CLOUDS NI KICHECHE, SASA AMSHOBOKEA LIVE DAVIDO..
SHILOLE: Asema Tattoo aliochora Nuh Mziwanda sikumlazimisha...
Mwanzoni mwa wiki hii, Nuh Mziwanda ambaye ni mpenzi wa Shilole aka ShiShi Baby alijichora tattoo ya kudumu yenye jina la Shilole.
Akiongea na The Jump Off ya 100.5 Times Fm, Nuh Mziwanda alieleza kuwa tattoo aliyochora ni ya kudumu na kwamba atakufa akiwa na tattoo hiyo.
Aliongeza kuwa hata kama Shilole atakuja kumuacha yeye hajali kitakachotokea anachojali ni kuwa anampenda na ameyabadilisha maisha yake kwa upekee wake.
Shilole alipouulizwa kuhusu uamuzi wa Nuh Mziwanda na jinsi anavyouchukulia.
“Hata sijui nisemeje…unajua kuchora kitu kwenye mwili ambacho sio cha kwako ni ngumu sana. Kwa hiyo yeye uamuzi wake aliouchukua, hakulazimishwa na mtu alifanya mwenyewe kwa mapenzi. Kwa hiyo aliamua kwa kuwa analove na mimi na ninalove na yeye basi ndio maana akaamua kufanya vile. Mimi kwangu ina maana kubwa sana sio siri ambayo haielezeki.
Tulitaka kufamu kama Shilole na yeye ana mpango wa kuja kuchora tattoo yenye jina la Nuh Mziwanda.
“Hamna…siwezi kusema ntafanya hivyo sijui na nini basi ni mapenzi tu na mimi siku nikiamua kufanya ntafanya kama ambavyo amefanya yeye. Kiukweli ana love ya ukweli kabisa tofauti na wanaume ambao nilikuwa nao, watu walikuwa wanapenda tu wasikie wanatoka na ShiShi kwa kutaka kutafuta ‘kick’ na nini…lakini Nu h kama Nuh ana upendo wa peke yake kabisa. Yaani hadi inafikia hatua nasema alikuwa wapi. Wanasema Mungu akitaka kukupa kitu hakuandikii barua.”

Angalia Picha; Behind The Scenes Ya Utengenezaji wa Video Mpya ya Kala Jeremiah ‘Simu Ya Mwisho’
Kala Jeremiah anatengeneza video mpya ya wimbo wake unaoitwa Simu Ya Mwisho inayoongozwa na Pablo wa kampuni ya D360.

Audio ya wimbo huo imetayarishwa na Mona Gangster. Video unawajumuisha Nay wa Mitego na msanii kutoka mwanza ‘Mo Music’.
Audio ya wimbo huo imetayarishwa na Mona Gangster. Video unawajumuisha Nay wa Mitego na msanii kutoka mwanza ‘Mo Music’.
Monday, June 9, 2014
HUU NDIO UZINDUZI WA DODOMA CARNVAL, MALAIKA BEND WAWASHA MOTO JUKWAANI, CHRISTIAN BELA AWALIZA WATU NA WIMBO WAKE MPYA ''MAMA''
| Christian Bella alifunika balaa Maelfu ya mashabiki wajitokeza kushuhudia kilichojiri... Show ilikuwa ni balaa na kila mtu alifurahia sana na kutamani wawe wanakuja kila weekend. |
Tazama picha mbalimbali watu wakila burudani mwanzo mwisho.
| Andrew Sekedia alitekenya kinanda vya kutosha kuwapagawisha mashabiki |
| Wafalme wa Masati hapa wakilikamua Sebene ipasavyo |
| Christian Bella akikamua sambamba na wanamuziki wenzake |
| Mashabiki walishindwa kukaa kwenye viti kiasi cha kusogea na kulisakata Rhumba kali zilizokuwa zikishushwa toka kwa Wafalme wa masauti |
| Christian Bella akiwaimbisha mashabiki wimbo wake mpya wa Mama |
Hapa wanenguaji nao walifanya yao sambamba na Rapa wa bendi hiyo
| Mkurugenzi wa Dodoma Carnival alitoa yake machache na kuwakaribisa watu wote wa Dodoma kufika pale kwani ndo kiwanja kinachokimbiza kwa sasa hapa Dodoma |
| Raymond |
| Dj Kipaso toka Dodoma Carnival nae aliongea yake machache huyu ndiye anayeongoza gurudumu la Entertainment Ndani ya dodoma Carnival |
| Shabiki alipanda jukwaani kuonesha uwezo wake...ilikuwa ni shiiiiiiiidaaaaa...... |
| Shabiki Elibariki au Osama Mweusi kama alivyopewa jina hilo hapo jana alipanda na kuonesha yake. |
Subscribe to:
Posts (Atom)