Diamond
alikwenda Uingereza kwa ajili ya kufanya video ya wimbo wake na Iyanya
ambayo imegharimu zaidi ya dola za kimarekani elfu 20 (zaidi ya milioni
30 za Tanzania) kutokana na ukubwa wa director wenyewe, malazi, mavazi,
kusafirisha watu kutoka Nigeria pamoja na mahitaji mengine.
Baada ya kazi Diamond pamoja na mshkaji wake Ommy Dimpoz wameshea baadhi
ya picha zao wakiwa kwenye mitaa mbalimbali ya London Uingereza pamoja
na video ya show waliyofanya pamoja London.
No comments:
Post a Comment