DJ RODGER
ABM RADIO
Wednesday, May 21, 2014
Alichokisema Director Abas Adamu kuhusu kumpgia kura Diamond Plutinum kwenye Tuzo za BET2014
Director wa Video nchini Abas Adamu kutoka Mac Media
amesikitishwa na baadhi ya mashabaiki mziki wa bongo fleva wanaompinga kwa kitendo chake cha kumprote Diamond Plutinum kwenye mitandao ya kijamii kwa kumsapot kumpigia kura katika Tuzo za BET 2014.
Kupitia Ukura wake wa Facebook Abas leo ameaandika Status ya kukerwa mmoja ya mashibiki kwa kumuandikia ujumbe wa mfupi kwenye inbox ya ukurasa wake wa facebook kwa kitendo chake na kumpnga kuwamiza watanzania kuaendelee kupigia kura msanii wa bongo flava Nassibu Abdul aka Diamond
Na hiki ndio aliandika kwenye ukurasa wake wa facebook"DAh nasikitika sana mtu ameniinbox eti unapromote diamond akipata hiyo tuzo anakujua, pesa anakula na wema, swali je unapopenda mziki wa chrisbrown yeye anakujua? kwann hatupendi kuona mtu anafanikiwa? Kama wewe ni mzalendo sio mbaya kushow support click hiyo link then comment katika hiyo pic "diamond platnumz -my number"
Diamond platinum kwa mara ya kwanza Amekuwa mtanzania wa kwanza kuinaingia katika tuzo za BET tuzo kubwa ulimwenguni
Labels:
BURUDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment