Kupitia Mtandao wa Instagram hivi karibuni Young D Amepost Picha ya Pamoja na akiwa Marehemu Albert Mangwea na kuandika Maneno kuwa amemkumbuka wa Damu
Albert Mangwea 'Ngwair' aliifariki 28, May2013 huko Afrika ya Kusini katika hospitali ya St Hellen iliyopo jijini Johannesburg nchini humo ambapo alikwendaa
Ngwair alikuwa ni msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alikuwa anaimba miondoko ya Hip Hop kutoka 'East Zoo' ambapo ameweza kufanya kazi kwa kushirikiana na baadhi ya wasanii wenzie aliwemo Jay Mo, nyimbo inayojulika kwa jina la 'Kimyakimya'.
Msanii huyo pia amewahi kufanya kazi katika lebo mbalimbali za muziki ikiwemo ya Zizzou Entertainment
kwa mualiko wa kufanya shoo
Albert Mangwair a.k.a Mimi a.k.a Ngwair. Albert Mangwair a.k.a Mimi a.k.a Ngwair alikuwa msanii wa Hip Hop ya Bongo kutoka mkoani Dodoma. Mwaka 2003 Ngwair alikutana na mtayarishaji mahiri wa muziki P Funk Majani na kuanza kufanya naye kazi ambapo alitoa kibao cha kwanza kiitwacho 'Ghetto Langu,' nyimbo iliyompatia umaarufu mkubwa. Mangwair pia aliwahi kushinda tuzo ya Kilimanjaro Music Awards kama mwana Hip Hop Bora wa mwaka 2005. Mwaka wa 2007 akatoka kwa wimbo wa Kimyakimya akiwa na Wana Chemba…
No comments:
Post a Comment