expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Friday, May 2, 2014

Tetesi za Jackline Wolper Kurudiana na Ali Kiba Ambaye Ndiye Mwanaume Wa Kwanza Kumuingiza Katika Mapenzi..!!


"Hakuna kitu kama hicho, hayo ni maneno tu ya watu.Mimi na Ali Kiba ni kama dada na kaka, hakuna linaloendelea.Kifupi ni kwamba huyo Kiba mwenyewe sijaonana nae muda mrefu sana" Huo ni utetezi wa Wolper baada ya madai kwamba wamerudisha penzi lao lililokufa miaka mingi iliyopita na kwamba wawili hao hivi sasa wamekuwa wakikutana kwa siri kubwa kutokana na kila mtu kuwa na mtu wake... Habari kutoka kwa familia ya Jack Wolper zinadai kuwa hivi sasa wawili hao wamekuwa pamoja tena baada ya kukutana hivi karibuni na kukubaliana kurudisha penzi lao... Wolper mara kadhaa amenukuliwa akidai kuwa Ali Kiba ndiye mwanaume aliyembikiri siku za mwanzoni kabisa kuingia jijini Dar wakati huo wote wawili wakiwa siyo mastaa

No comments:

Post a Comment