expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Sunday, June 1, 2014

Young killer amtambulisha Mama yake kwenye Stage ya kili‬ Tour Mwanza


Young killer Msodoki kwa kuonyesha anampendana kumjali Mama yake Mzazi ameamua kutoa shukarani mbele ya Mshabiki kwa kuwezeshwa kupata Tuzo mwaka huu huku akipanda Stagen na mama yake mzazi kwa ajili ya kumtambulisha kwa mashabiki wa Mwanza sehemu amabayo anatokea. Young killer alipata Tuzo hiyo katika Tuzo za Kilimanjaro mwaka 2014 kama msanii anayechupukia huku akiwapiku akina Walter Chilambo,Y Tony,Snura,Meninah Kwa kuonyesha Uwezo wake pia alikuwa amependekezwa kushiriki pia kwenye Msanii bora wa Hip hop akichuana na wasanii wakubwa kama FID Q,Stamina,Nick wa pili,Gnako Lakin Young killer hakuweza kupata tuzo hiyo nakuchukuliwa FID Q

No comments:

Post a Comment