MOTO MKUBWA WATOKEA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM). MUDA HUU, WANAFUNZI WAKOSA AMANI ONA MTUKIO YOTE HAPA
Moto uhuu umezuka karibu na hostel za mabinti katika skuli ya sanaa na
lugha (humanities), chanzo cha moto huo hakijajulikana mpaka sasa.....
tutakujuza kadri taarifa zitavyozidi kutolewa.
No comments:
Post a Comment