Kutokana Umaarufu alaionao kwa sasa kwenye Mziki wa hip hop
apa Bongo Waandish wa habari kumsakama
na mfutilia kila analofanya yeye na Mpenzi wake
Msanii Hip hop Bongo Young Killer Msodoki Ameamaua kuwachana
live waandishi wahabari aka Mapaprazi wanaofatilia nyendo zake
Kupitia akurasa wake facebook Young Killer amepost picha
akiwa barabarani akiwa na Mpenzi wake ikiamabatana na maneno aliyopost kwenye
picha nakusema
“Naongea kwa vitendo"" maneno napiga chini ##waabalishe
wapenda skendo paparazi niko mjini### ha ha ha with @msodokihalimaty
@msodokihalimaty now some where... @kadgo @iceboii @aley_22 @santistunner
@daynanyange”
No comments:
Post a Comment