BREAKING NEWS: Mtu 1 amefariki na wengine kujeruhiwa baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa bomu, kurushwa karibu na msikiti, darajani Zanzibar
Habari zinadai kuwa Mtu Mmoja ambaye Jina lake alikuweza kufahamika mara moja Amekufa baada Kulipuliwa na Bomu lilokuwa limetegwa ndani ya gari lake.
Habari zaidi zimeendelea kudai kuwa jamaa huyo alikuwa akitoka msikitini majira ya saa 3 usiku mara baada kufungua mlango wa gari ndipo bomu lilipuka na kuumua apo apo
Baadhi wakzi Zanzibar wakienda Kushuhudia Tukio hilo
No comments:
Post a Comment