Muigizaji
Mkongwe mkongwe hapa nchini Said ngamba maarufu kama mzee Small amefariki Dunia
siku wa kuamkia leo katika hospital ya taifa mhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Akithibitisha
taarifa ya kifo cha Mzee Small mwanaye atwaye Mohmoud amesema mzee wake
amefikwa na mauti hayo majira ya saa nne usiku wakatiakiwa hospitalini apo akiendelea
kupatiwa Matibabu
Msiba unafanyika nyumbani kwake tabata na kadri
taarifa zinavyoukuwa zinafuatia tutaendelea kukujuza
Kipigo
lingine tena kwenye tasinia ya sanaa baada ya kuondokewa na wasanii kadhaa
majuma yaliyopita
No comments:
Post a Comment