JANA, kwenye Mechi ya Kirafiki huko Die Coface Arena, Jijini Mainz, Germany,Miroslav
Klose aliweka Rekodi ya kuwa Mfungaji Bora wa Germany ambayo iliifunga
Armenia Bao 6-1 lakini imekumbwa na wasiwasi baada kuumia Mchezaji wao
Marco Reus.
Klose, mwenye Miaka 35, alitoka Benchi
na kufunga Bao lake la 69 kwa Germany na kumfanya awe ndie Mfungaji Bora
wao katika Historia.
Andre Schurrle alitangulia kuipa Germany
Bao na Armenia kusawazisha kwa Penati ya Henrik Mkhitaryan na hapo
ndipo Germany iliposhusha Mvua ya Magoli.
+++++++++++++++++++++++
MAGOLI:
Germany 6
52' Andre Schurrle
72' Lukas Podolski
73' Benedikt Howedes
76' Miroslav Klose
82' Mario Goetze
89' Mario Goetze
Armenia 1
69' Henrik Mkhitaryan [Penati]
+++++++++++++++++++++++
Baada ya Mechi, Kocha wa Germany,
Joachim Low, aliongea: "Reus anachunguzwa Hospitali. Tunasubiri. Mpaka
Masaa 24 kabla ya Mechi ya Kwanza, kwa mujibu wa Sheria, tunaweza
kumwita Mchezaji mwingine kumbadili!”
VIKOSI:
Germany:
22 Weidenfeller
20 Boateng (Großkreutz - 67')
04 Höwedes
16 Lahm (Özil - 45')
17 Mertesacker
05 Hummels
06 Khedira (Schweinsteiger - 59')
18 Kroos
13 Müller (Klose - 67')
09 Schürrle (Götze - 75')
21 Reus (Podolski - 45')
Armenia:
01 Berezovskiy
03 Haroyan
20 Hayrapetyan
07 Yedigaryan
15 Mkoyan
05 Arzumanyan
22 Manucharyan (Tumasyan - 77')
08 Hovsepyan (Sarkisov - 74')
14 Movsisyan
18 Mkhitaryan
10 Ghazaryan
Refa: Harald Lechner
MATOKEO/RATIBA MECHI ZA KUJIPIMA:
KIMATAIFA-Kirafika
[Saa zikitajwa za Bongo]
Ijumaa Juni 6
Russia 2 Morocco 0
Germany 6 Armenia 1
Brazil 1 Serbia 0
Jumamosi Juni 7
2:00 Croatia Vs Australia
2:00 Colombia Vs Jordan
2:30 Japan Vs Zambia
3:00 Costa Rica Vs Northern Ireland
3:00 Cameroon Vs Guatemala
3:00 Greece Vs Bolivia
3:00 Costa Rica Vs Ireland
3:30 Mexico Vs Portugal
19:00 Cameroon Vs Moldova
20:00 Estonia Vs Tajikistan
21:30 Hungary Vs Kazakstan
21:45 Belgium Vs Tunisia
21:45 Argentina Vs Slovenia
23:00 El Salvador Vs Spain
23:45 England Vs Honduras
KOMBE la DUNIA
RATIBA-Mechi za Ufunguzi:
[Saa za Bongo]
Alhamisi 12 Juni 2014
KUNDI A
2300 Brazil V Croatia
Ijumaa 13 Juni 2014
1900 Mexico V Cameroon
Source..soka in Bongo
No comments:
Post a Comment