Christian Bella alifunika balaa Maelfu ya mashabiki wajitokeza kushuhudia kilichojiri... Show ilikuwa ni balaa na kila mtu alifurahia sana na kutamani wawe wanakuja kila weekend. |
Tazama picha mbalimbali watu wakila burudani mwanzo mwisho.
Andrew Sekedia alitekenya kinanda vya kutosha kuwapagawisha mashabiki |
Wafalme wa Masati hapa wakilikamua Sebene ipasavyo |
Christian Bella akikamua sambamba na wanamuziki wenzake |
Mashabiki walishindwa kukaa kwenye viti kiasi cha kusogea na kulisakata Rhumba kali zilizokuwa zikishushwa toka kwa Wafalme wa masauti |
Christian Bella akiwaimbisha mashabiki wimbo wake mpya wa Mama |
Hapa wanenguaji nao walifanya yao sambamba na Rapa wa bendi hiyo
Mkurugenzi wa Dodoma Carnival alitoa yake machache na kuwakaribisa watu wote wa Dodoma kufika pale kwani ndo kiwanja kinachokimbiza kwa sasa hapa Dodoma |
Raymond |
Dj Kipaso toka Dodoma Carnival nae aliongea yake machache huyu ndiye anayeongoza gurudumu la Entertainment Ndani ya dodoma Carnival |
Shabiki alipanda jukwaani kuonesha uwezo wake...ilikuwa ni shiiiiiiiidaaaaa...... |
Shabiki Elibariki au Osama Mweusi kama alivyopewa jina hilo hapo jana alipanda na kuonesha yake. |
No comments:
Post a Comment