Msanii wa muziki hapa Bongo
Rehema Chalamila aka Ray C Amefunguka kwa kudai kuwa ujio wake mpya kwenye
Muziki atakuja pia na nyimbo za taarabu huku akimtahadharisha Khadija Kopa
Akizungumza kwenye kipindi cha
Sporah Show hivi karibuni Ray C Amesema kwenye Album yake ambayo inakuja hivi
karibuni kunamchangamyiko wa nyimbo tofauti zikiwemo taarabu na za kihindi
Nimefanya taarabu kama mbili na
Zouk yaan nimebadilika kabisa kuna kwaito kuna bongo fleva,uwindi hindi kidogo
kwa iyo khadija kopa ajiandae:Alisema Ray C
Pia Ray C Amedai kuwa aina ya
muziki anayokuja nayo hivi sasa ni ule
kuonyesha kipaji chake zaidi cha kuimba na siyo kucheza.
No comments:
Post a Comment