expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Monday, June 30, 2014

Mtangazaji Maarufu hapa Bobgo SSebo ajiunga E fm....Soma Zaid

D4S_3487

Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo (pichani)amejiunga na Radio ya E FM ambayo imekwishajizolea umaarufu mkubwa jijini Dsm kwa kipindi kifupi tu kutokana na staili yake tofauti ya urushaji matangazo nchini.
Ssebo mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano kwenye vituo mbalimbali vya Radio na TV amejizolea sifa na mashabiki lukuki katika tasnia hii ya utangazaji kutokana na staili na vituko vyake awapo hewani. 
“Mashabiki wangu watarajie mengi mazuri kutoka kwangu nikiwa na E FM”,alisema Ssebo.Ssebo anakutana na timu ya watangazaji wengine wakongwe kama Dj Majey, Dizzo One na Sos B waliokwisha anza kusikika Radioni hapo.

#‎STAY TUNE NEW VIDEO YA FREDDY SWAGG FT. YOUNG KILLER & KAD GO - MAANDISHI Directed By MSAFIRI SHABANI @KWETU STUDIOS


Saturday, June 21, 2014

KOMBE LA DUNIA: GHANA, GERMANY SARE!...CHEKI MATOKEO ZAIDI

GERMANY_v_GHANA
Miroslav Klose aliinusuru Germany kipigo na pia kufikisha Rekodi ya Ronaldo ya Bao 15 za Magoli kwemyeFainali za Kombe la Dunia baada Jana kuisawazishia huko Estadio Castelao, Jijini Fortaleza Nchini Brazil na kutoka Sare 2-2 na Ghana kwenye Mechi ya Kundi G.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MAGOLI:
Germany 2
-Mario Götze Dakika ya 51
-Miroslav Klose 71
Ghana 2
-Andre Ayew Dakika ya 54
-Asamoah Gyan 63
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI G
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Germany
2
1
2
0
6
2
4
4
United States
1
1
0
0
2
1
1
3
Ghana
2
0
1
1
3
4
-1
1
Portugal
1
0
0
1
0
4
-4
0
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Germany na Ghana zitacheza Mechi zao za mwisho hapo Alhamisi Juni 26 kwa Germany kucheza na USA na Ghana kuivaa Portugal.
Leo Usiku ipo Mechi nyingine ya Kundi G kati ya Portugal na USA.
VIKOSI:
Germany:
01 Neuer
20 Boateng (Mustafi - 45')
04 Höwedes
16 Lahm
17 Mertesacker
05 Hummels
06 Khedira (Schweinsteiger - 70')
18 Kroos
13 Müller
08 Özil
19 Götze (Klose - 69')
Ghana:
16 Dauda
23 Afful
20 Asamoah
11 Muntari
21 Boye
19 Mensah
07 Atsu (Wakaso - 71')
17 Rabiu (Badu - 78')
03 Gyan
09 Boateng (J.Ayew - 52')
10 A.Ayew
Refa: Sandro Meira Ricci (Brazil)
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
JUMAMOSI, JUNI 21, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Argentina 1 Iran 0
F
Estadio Mineirão
2200
Germany 2 Ghana 2
G
Estadio Castelão
0100
Nigeria 1 Bosnia-Herzegovina 0
F
Arena Pantanal
JUMAPILI, JUNI 22, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Belgium v Russia
H
Estadio do Maracanã
2200
South Korea v Algeria
H
Estadio Beira-Rio
0100
United States v Portugal
G
Arena Amazonia
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia v Spain
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands v Chile
B
Arena Corinthians
2300
Croatia v Mexico
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon v Brazil
A
Nacional

KOMBE LA DUNIA: NIGERIA YAIFUNGA BOSNIA 1-0!

NIGERIA_v_BOSNIA
WAKICHEZA huko Arena Pantanal, Mjini Cuiaba Nchini Brazil, Nigeria Jana waliifunga Bosnia-Herzegovina Bao 1-0 katika Mechi ya Kundi F la Fainali za Kombe la Dunia.
Bao hilo muhimu lilifungwa na Peter Odemwingie katika Dakika ya 29 na kuweka matmaini ya Nigeria kutinga Raundi ya Pili.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI F
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Argentina
2
2
0
0
1
1
2
6
Nigeria
2
1
1
0
1
0
0
4
Iran
2
0
1
1
0
1
-1
1
Bosnia
2
0
0
2
1
3
-2
0
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
VIKOSI:
Nigeria:
01 Enyeama
05 Ambrose Emuobo
13 Oshaniwa
10 Mikel
02 Yobo
22 Omeruo
08 Odemwingie
17 Onazi
09 Emenike
18 Babatunde (Uzoenyi - 75')
07 Musa (Ameobi - 65')
Bosnia-Hercegovina:
01 Begovic
13 Mujdza
16 Lulic (Salihovic - 58')
07 Besic
15 Sunjic
04 Spahic
20 Hajrovic (Ibisevic - 57')
8 Medunjanin (Susic - 64')
11 Dzeko
08 Pjanic
10 Misimovic
Refa: Peter O'Leary (New Zealand)
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
JUMAMOSI, JUNI 21, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Argentina 1 Iran 0
F
Estadio Mineirão
2200
Germany 2 Ghana 2
G
Estadio Castelão
0100
Nigeria 1 Bosnia-Herzegovina 0
F
Arena Pantanal
JUMAPILI, JUNI 22, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Belgium v Russia
H
Estadio do Maracanã
2200
South Korea v Algeria
H
Estadio Beira-Rio
0100
United States v Portugal
G
Arena Amazonia
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia v Spain
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands v Chile
B
Arena Corinthians
2300
Croatia v Mexico
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon v Brazil
A
Nacional

KOMBE LA DUNIA: ARGENTINA 1 IRAN O, MESSI AFUNGA MWISHONI!

MESSI_IN_ARGENTINA
LIONEL MESSI Leo amefunga Bao katika Dakika ya 91 na kuipa Argentina ushindi wa Bao 1-0 kwenye Mechi ya Kundi F la Fainali za Kombe la Dunia iliyochezwa Estadio Mineirão Mjini Belo Horizonte Nchini Brazil.
Ira, chini ya Kocha Carlos Quieroz ambae aliwahi kuwa Manchester United, walisimama kidete kuisimamisha Argentina na walipata nafasi ya wao kufunga wakati kichwa cha Ashkan Dejagah  kilipookolewa na Kipa Sergio Romero.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI F
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Argentina
2
2
0
0
3
1
2
6
Nigeria
1
0
1
0
0
0
0
1
Iran
2
0
1
1
0
1
-1
1
Bosnia
1
0
0
1
1
2
-1
0
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
FULECO_NA_BRAZUCA

Baadae Leo, Mechi nyingine ya Kundi F itachezwa kati ya Nigeria na Bosnia.
Argentina wamebakisha Mechi moja na watacheza na Nigeria hapo Jumatano Juni 25.
VIKOSI:
ARGENTINA: Romero, Zabaleta, Garay, Federico Fernandez, Rojo, Gago, Mascherano, Di Maria, Aguero, Messi, Higuain.
Akiba: Orion, Campagnaro, Biglia, Perez, Maxi Rodriguez, Augusto Fernandez, Demichelis, Palacio, Alvarez, Lavezzi, Basanta, Andujar.
IRAN: Alireza Haghighi, Montazeri, Hosseini, Sadeghi, Pouladi, Shojaei, Teymourian, Nekounam, Hajsafi, Dejagah, Ghoochannejhad.
Akiba: Ahmadi, Heydari, Reza Haghighi, Jahanbakhsh, Ansarifard, Hadadifar, Mahini, Alnameh, Rahmani, Beikzadeh, Beitashour, Davari.
Refa: Milorad Mazic (Serbia)
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
JUMAMOSI, JUNI 21, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Argentina 1 Iran 0
F
Estadio Mineirão
2200
Germany v Ghana
G
Estadio Castelão
0100
Nigeria v Bosnia-Herzegovina
F
Arena Pantanal
JUMAPILI, JUNI 22, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Belgium v Russia
H
Estadio do Maracanã
2200
South Korea v Algeria
H
Estadio Beira-Rio
0100
United States v Portugal
G
Arena Amazonia
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia v Spain
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands v Chile
B
Arena Corinthians
2300
Croatia v Mexico
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon v Brazil
A
Nacional

Download na Usikilize ngoma ya Real Rama ft Rose-Bonge la Bishoo_Prod_Double Y

Tazama na Download New Video ya Raph Tz ft Steve RnB - Darasa_Directed by Backamazaa

Friday, June 20, 2014

Huu ndio muonekano mpya wa CHIDY BENZI Ebu Mcheki


















Malinzi Awata Makocha wafanyie kazi mafunzo wanayopatiwa



RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka makocha wa mpira wa miguu wafanyie kazi kwa vitendo mafunzo wanayopata badala ya kuweka makabatini maarifa waliyopata.

Akifunga rasmi mafunzo ya wiki mbili ya makocha wa mpira wa miguu ya Leseni B inayotambuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) jijini Dar es Salaam leo (Juni 20 mwaka huu),

Rais Malinzi amewataka makocha hao kuwapa mafunzo ya awali (basic) walimu wa shule za msingi kwa vile TFF ina mpango wa kuhakikisha kila shule ya msingi nchini inapata mipira kumi kila mwaka.“Kila mwaka tutakuwa na mashindano ya kitaifa ya watoto wenye umri chini ya miaka 13 kuanzia mwaka huu.

Hivyo ninyi makocha huko mnaporudi muwafundishe walimu wa shule za msingi mafunzo ya awali ya ukocha,” alisema. Kozi iliyohudhuriwa na makocha 26 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar ilikuwa chini ya Wakufunzi wa CAF, Honour Janza kutoka Zambia, na Sunday Kayuni na Salum Madadi wa Tanzania.

Janza pia ni Mkurugenzi wa Ufundi wa Chama cha Mpira wa Miguu Zambia (FAZ). Makocha walioshiriki kozi hiyo ni Abdalla Mohammed Juma (Zanzibar), Abdul Banyai (Temeke), Abdul Nyumba (Temeke), Abdulmutik Haji (Zanzibar), Aley Mohammed (Zanzibar), Ali Vuai Shein (Zanzibar), Dennis Kitambi (Morogoro), Dismas Haonga (Ilala), Emmanuel Massawe (Shinyanga), Fikiri Elias (Arusha), Fulgence Novatus (Mwanza), Hababuu Ali Omar (Zanzibar), Juma Mgunda (Tanga) na Kidao Wilfred (Ilala).

Downloud na Kusiliza ngoma mpya kutoka kwa Nakaya-Blessing


MOTO MKUBWA WATOKEA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM). MUDA HUU, WANAFUNZI WAKOSA AMANI ONA MTUKIO YOTE HAPA

Moto uhuu umezuka  karibu na hostel za mabinti katika skuli ya sanaa na lugha (humanities), chanzo cha moto huo hakijajulikana mpaka sasa..... tutakujuza kadri taarifa zitavyozidi kutolewa.






Audio|LINAH ft-DiAMOND-KIZAI(RMX)


Msami na Uwoya uhusiano wao hauleweki umekuwa ni wadanadana sasa...Soma Zaidi

Msanii wa muziki wa bongo flava Msami amemkana kiaina mrembo na msanii wa bongo movie Irene Uwoya akitia ugumu kukubali moja kwa moja kama ni wapenzi.

Msami katika mahojiano na Mamu Africa Blog alikuwa mgumu kukubali moja kwa moja kama wana mahusiano ya mapenzi na Uwoya akisisitiza kuwa mrembo huyo ni zaidi ya rafiki.

Akaenda mbali zaidi akisema mara kadhaa amekuwa analala na Uwoya kitanda kimoja hata siku mbili mpaka tatu lakini wanalala mzungu wa nne.

"Unajua Uwoya ni best friend wangu sana sana,wakati mwingine nakwenda kwake tunapiga stori mpaka usiku,tunaangusha pamoja hata siku mbili tatu kitanda kimoja lakini huwa tunalala mzungu wa nne tu" alisema Msami.

Msami aliendelea kuzunguka kuukubali akitumia neno kwa mfano kama ni wapenzi na Uwoya kukutana kwao ni baada ya kazi zao kwakuwa kila mmoja ana majukumu yake ya kikazi.

"Unajua kwa mfano tuna imagine kuwa Uwoya ni mpenzi wangu,mara nyingi tunakutana baada ya mihangaiko yetu ya kila siku.

Baada ya danadana za hapa na pale na kubanwa hatimaye Msami akakiri kuwa kweli anatoka kimapenzi na Uwoya.

Aidha Msami amesema anashangaa watu wanaosema kuwa Uwoya anatoka na Serengeti boy wakati hawaujui ukweli wa jambo hilo,kwakuwa yeye ana umri mkubwa zaidi ya mrembo huyo.

Amesema amemzidi Uwoya kwa kuzaliwa kwa miezi kadhaa kwahiyo yeye sio Serengeti boy kwakuwa ni mkubwa kwake.

"Nawashangaa watu wanasema eti Uwoya anatoka na Serengeti Boy yaani hata ukweli hawaujui mimi ni mkubwa nimemzidi miezi kadhaa wanasemaje eti ni Serengeti Boy waache hizo" Msami alisema.

Friday, June 13, 2014

KATIKA KOMBE LA DUNIA: RVP, ROBBENS WAISAIDIA HOLLAND KUIBOMOA SPAIN 5-1!!


 ROBIN_VAN_PERSIE-HOLLAND

Netherlands walileta mstuko mkubwa katika Historia ya Kombe la Dunia baada ya Janakuwatwanga Mabingwa Watetezi Bao 5-1 katika Mechi yao ya Kwanza ya Kundi B iliyochezwa huko Arena Fonte Nova Jijini Salvador Nchini Brazil.
Spain walitangulia kufunga baada ya kupewa Penati kufuatia Diego Costa kuangushwa na Penati kufungwa na Xabi Alonso.
Lakini Goli la ufundi mkubwa la Kichwa la Robin van Persie liliwafanya Netherlands wasawazishe na kwenda Mapumziko Bao zikiwa 1-1.
Kipindi cha Pili Arjen Robben akaifanya Netherlands iwe 2-1 mbele na Stefan de Vrij kupiga Bao la 3 baada ya Frikiki ya Wesley Sneijder.
Van Persie akamshinda Kipa Iker Casillas na kumpokonya Mpira na kupiga Bao la na Robben kumalizia Bao la 5.
+++++++++++++++++++++
MAGOLI:
Spain 1
Alonso 27 (Penati)
Netherlands 5
-Robin van Persie Dakika ya 44 & 72
-Robben 53 & 80
-de Vrij 64
+++++++++++++++++++++
Hili ni pigo kubwa kwa Spain wanaosaka Taji lao la 4 kubwa mfululizo baada ya kutwaa EURO 2008, Kombe la Dunia 2010 na EURO 2012.
Hiki ni kipigo kikubwa cha Bao 5 ambacho mara ya mwisho walikipata Mwaka 1963.
Sasa itabidi wajikusanye nguvu na Jumatano ijayo kuisambaratisha Australia ambayo ilifungwa 3-1 na Chile hapo Jana.
VIKOSI:
Spain
01 Casillas
22 Azpilicueta
18 Alba
14 Alonso (Pedro - 63')
03 Piqué
15 Ramos
21 Silva(Fábregas - 78')
16 Busquets
19 Diego Costa (Torres - 62')
08 Xavi
06 Iniesta
Netherlands:
01 Cillessen
07 Janmaat
05 Blind
04 Martins Indi
02 Vlaar
03 de Vrij  (Veltman - 77' )
08 de Guzmán (Wijnaldum - 62')
06 de Jong
10 Sneijder
09 Robin van Persie (Lens - 79')
Refa: Nicola Rizzoli [Italy]
JUMAMOSI, JUNI 14, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
REFA
1900
Colombia v Greece
C
Estadio Mineirão
Mark Geiger [USA]
2200
Uruguay v Costa Rica
D
Estadio Castelão
Felix Brych [Germany]
0100
England v Italy
D
Arena Amazonia
Bjorn Kuipers [Holland]
0400
Ivory Coast v Japan
C
Arena Pernambuco
Enrique Osses [Chile]

KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014: HABARI & RATIBA ...Stay Connected

PDF
BRAZIL_2014_BEST


-






























NI MARA YA PILI KWA BRAZIL KUWA MWENYEJI WA
 FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA, MARA YA KWANZA ILIKUWA MWAKA 1950
+++++++++++++++++++++++++
WORLD_CUP-GROUPS
KOMBE LA DUNIA
[**SAA za BONGO]
ALHAMISI, JUNI 12, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
2300 Brazil  v Croatia A Arena Corinthians
IJUMAA, JUNI 13, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Mexico v Cameroon A Estadio das Dunas
2200 Spain  v Netherlands B Arena Fonte Nova
0100 Chile  v Australia B Arena Pantanal
JUMAMOSI, JUNI 14, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Colombia v Greece C Estadio Mineirão
2200 Uruguay v Costa Rica D Estadio Castelão
0100 England v Italy D Arena Amazonia
0400 Ivory Coast v Japan C Arena Pernambuco
JUMAPILI, JUNI 15, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Switzerland v Ecuador E Nacional
2200 France v Honduras E Estadio Beira-Rio
0100 Argentina v Bosnia-Herzegovina F Estadio do Maracanã
JUMATATU, JUNI 16, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Germany v Portugal G Arena Fonte Nova
2200 Iran v Nigeria F Arena da Baixada
0100 Ghana v United States G Estadio das Dunas
JUMANNE, JUNI 17, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Belgium v Algeria H Estadio Mineirão
2200 Brazil v Mexico A Estadio Castelão
0100 Russia v South Korea H Arena Pantanal
JUMATANO, JUNI 18, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Australia v Netherlands B Estadio Beira-Rio
2200 Spain v Chile B Estadio do Maracanã
0100 Cameroon v Croatia A Arena Amazonia
ALHAMISI, JUNI 19, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Colombia v Ivory Coast C Nacional
2200 Uruguay v England D Arena Corinthians
0100 Japan v Greece C Estadio das Dunas
IJUMAA, JUNI 20, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Italy v Costa Rica D Arena Pernambuco
2200 Switzerland v France E Arena Fonte Nova
0100 Honduras v Ecuador E Arena da Baixada
JUMAMOSI, JUNI 21, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Argentina v Iran F Estadio Mineirão
2200 Germany v Ghana G Estadio Castelão
0100 Nigeria v Bosnia-Herzegovina F Arena Pantanal
JUMAPILI, JUNI 22, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Belgium v Russia H Estadio do Maracanã
2200 South Korea v Algeria H Estadio Beira-Rio
0100 United States v Portugal G Arena Amazonia
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Australia v Spain B Arena da Baixada
1900 Netherlands v Chile B Arena Corinthians
2300 Croatia v Mexico A Arena Pernambuco
2300 Cameroon v Brazil A Nacional
JUMANNE, JUNI 24, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Italy v Uruguay D Estadio das Dunas
1900 Costa Rica v England D Estadio Mineirão
2300 Japan v Colombia C Arena Pantanal
2300 Greece v Ivory Coast C Estadio Castelão
JUMATANO, JUNI 25, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Nigeria v Argentina F Estadio Beira-Rio
1900 Bosnia-Herzegovina v Iran F Arena Fonte Nova
2300 Honduras v Switzerland E Arena Amazonia
2300 Ecuador v France E Estadio do Maracanã
ALHAMISI, JUNI 26, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 United States v Germany G Arena Pernambuco
1900 Portugal v Ghana G Nacional
2300 South Korea v Belgium H Arena Corinthians
2300 Algeria v Russia H Arena da Baixada
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 1A v 2B [Mechi Na. 49] RAUNDI YA PILI Estadio Mineirão
2300 1C v 2D [50] RAUNDI YA PILI Estadio do Maracanã
JUMAPILI, JUNI 29, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 1B v 2A [51] RAUNDI YA PILI Estadio Castelão
2300 1D v 2C [52] RAUNDI YA PILI Arena Pernambuco
JUMATATU, JUNI 30, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 1E v 2F [53] RAUNDI YA PILI Nacional
2300 1G v 2H [54] RAUNDI YA PILI Estadio Beira-Rio
JUMANNE, JULAI 1, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 1F v 2E [55] RAUNDI YA PILI Arena Corinthians
2300 1H v 2G [56] RAUNDI YA PILI Arena Fonte Nova
IJUMAA, JULAI 4, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Mshindi 53 v Mshindi 54 [57] ROBO FAINALI Estadio do Maracanã
2300 Mshindi 49 v Mshindi 50 [58] ROBO FAINALI Estadio Castelão
JUMAMOSI, JULAI 5, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Mshindi 55 v Mshindi 56 [59] ROBO FAINALI Nacional
2300 Mshindi 51 v Mshindi 52 [60] ROBO FAINALI Arena Fonte Nova
JUMANNE, JULAI 8, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
2300 Mshindi 57 v Mshindi 58 [61] NUSU FAINALI Estadio Mineirão
JUMATANO, JULAI 9, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
2300 Mshindi 59 Mshindi 60 [62] NUSU FAINALI Arena Corinthians
JUMAMOSI, JULAI 12, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
2300 Aliefungwa 61 v Aliefungwa 62 MSHINDI WA 3 Nacional
JUMAPILI, JULAI 13, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
2200 Mshindi Mechi 61 v Mshindi Mechi 62 FAINALI Estadio do Maracanã
VIWANJA:BRAZIL_MAP
-Rio de Janeiro: Maracanã (Viti 71,159) 
-São Paulo: Arena de São Paulo (Arena Corinthians – Viti 59,955) 
-Belo Horizonte: Mineirão (Viti 56,091)
-Brasilia: Estádio Nacional de Brasilia (Viti 65,702)
-Fortaleza: Arena Castelão (Viti 57,747)
-Salvador: Arena Fonte Nova (Viti 49,280) 

-Porto Alegre: Estádio Beira-Rio (Viti 42,153) 
-Recife: Arena Pernambuco (Viti 40,604) 
-Manaus: Arena da Amazônia (Viti 39,573) 
-Cuiabá: Arena Pantanal (Viti 39,553) 
-Natal: Arena das Dunas (Viti 39,304) 
-Curitiba: Arena da Baixada (Viti 37,634) 
FIFA WORLD CUP 2014: PATA VIKOSI KAMILI VYA TIMU ZOTE 32 HUKO BRAZIL
HIVI sasa kila Timu ambayo ipo Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil imewasilisha Wachezaji 23 kwa FIFA kwa ajili ya Fainali hizo zinazoanza Juni 12.
PATA VIKOSI VYA KILA TIMUKUNDI A
Brazil
Makipa: Julio Cesar (Toronto FC, Mkopo toka QPR), Jefferson (Botafogo), Victor (Atletico Mineiro).
Mabeki: Dani Alves (Barcelona), Maicon (Roma), David Luiz (Chelsea), Thiago Silva (PSG), Dante (Bayern Munich), Marcelo (Real Madrid), Henrique (Napoli), Maxwell (PSG).
Viungo: Oscar (Chelsea), Fernandinho (Man City), Willian (Chelsea), Paulinho (Spurs), Ramires (Chelsea), Luis Gustavo (Wolfsburg), Hernanes (Inter Milan).
Mafowadi: Bernard (Shakhtar Donetsk), Neymar (Barcelona), Fred (Fluminense), Hulk (Zenit St Petersburg), Jo (Atletico Mineiro).
Croatia
Makipa: Stipe Pletikosa (Rostov), Danijel Subasic (Monaco), Oliver Zelenika (Lokomotiv Moscow).
Mabeki: Darijo Srna (Shakhtar Donetsk), Dejan Lovren (Southampton), Vedran Corluka (Lokomotiv Moscow), Gordon Schildenfeld (Panathinaikos), Danijel Pranjic (Panathinaikos), Domagoj Vida (Dinamo Kiev), Sime Vrsaljko (Genoa).
Viungo: Luka Modric (Real Madrid), Ivan Rakitic (Sevilla), Ognjen Vukojevic (Dynamo Kiev), Ivan Perisic (Wolfsburg), Mateo Kovacic (Inter Milan), Marcelo Brozovic (Dinamo Zagreb), Ivan Mocinic (Rijeka), Sammir (Getafe).
Mafowadi: Mario Mandzukic (Bayern Munich), Ivica Olic (Wolfsburg), Eduardo da Silva (Shakhtar Donetsk), Nikica Jelavic (Hull), Ante Rebic (Fiorentina).
Mexico
Makipa: Jesus Corona (Cruz Azul), Alfredo Talavera (Toluca), Guillermo Ochoa (Ajaccio)
Mabeki: Andres Guardado (Bayer Leverkusen), Paul Aguilar, Francisco Rodriguez, Miguel Layun (all America), Hector Moreno (Espanyol), Rafael Marquez (Leon), Diego Reyes (Porto), Carlos Salcido (UANL Tigres)
Viungo: Hector Herrera (Porto), Jose Juan Vazquez, Carlos Pena, Luis Montes (all Lyon), Juan Carlos Medina (America), Isaac Brizuela, Marco Fabian (both Cruz Azul)
Mafowadi: Oribe Peralta (Santos Laguna), Javier Hernandez (Manchester United), Raul Jimenez (America), Giovani Dos Santos (Villarreal)
Cameroon
Makipa: Loic Feudjou (Coton Sport), Charles Itandje (Konyaspor), Sammy Ndjock (Fethiyespor)
Mabeki: Benoit Assou-Ekotto (Tottenham Hotspur), Henri Bedimo (Olympique Lyon), Aurelien Chedjou (Galatasaray), Cedric Djeugou (Coton Sport), Nicolas Nkoulou (Olympique Marseille), Dany Nounkeu (Besiktas), Allan Nyom (Granada)
Viungo: Enoh Eyong (Antalyaspor), Jean Makoun (Stade Rennes), Joel Matip (Schalke 04), Stephane Mbia (Sevilla), Benjamin Moukandjo (Nancy), Landry Nguemo (Girondins Bordeaux), Edgar Salli (Racing Lens), Alexandre Song (Barcelona)
Mafowadi: Vincent Aboubakar (Lorient), Eric-Maxim Choupo Moting (Mainz), Samuel Eto'o (Chelsea), Fabrice Olinga (Malaga), Achille Webo (Fenerbahce).
KUNDI B
Spain
Makipa: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli), David de Gea (Manchester United)
Mabeki: Cesar Azpilicueta (Chelsea), Gerard Pique (Barcelona), Jordi Alba (Barcelona), Sergio Ramos (Real Madrid), Javi Martinez (Bayern Munich), Raul Albiol (Napoli), Juanfran Torres (Atletico Madrid).
Viungo: Sergio Busquets (Barcelona), Xavi Hernandez (Barcelona), Andres Iniesta (Barcelona), Cesc Fabregas (Barcelona), Xabi Alonso (Real Madrid), Koke Resurreccion (Atletico Madrid), David Silva (Manchester City), Juan Mata (Manchester United), Santi Cazorla (Arsenal).
Mafowadi: Pedro Rodriguez (Barcelona), Diego Costa (Atletico Madrid), David Villa (Atletico Madrid), Fernando Torres (Chelsea).
Holland
Makipa: Jasper Cillessen (Ajax Amsterdam), Tim Krul (Newcastle United), Michel Vorm (Swansea City)
Mabeki: Daley Blind (Ajax Amsterdam), Stefan de Vrij, Daryl Janmaat, Terence Kongolo, Bruno Martins Indi (all Feyenoord Rotterdam), Paul Verhaegh (FC Augsburg), Ron Vlaar (Aston Villa), Joel Veltman (Ajax Amsterdam)
Viungo: Jordy Clasie (Feyenoord Rotterdam), Jonathan de Guzman (Swansea City), Nigel de Jong (AC Milan), Leroy Fer (Norwich City), Arjen Robben (Bayern Munich), Wesley Sneijder (Galatasaray), Georginio Wijnaldum (PSV Eindhoven)
Mafowadi: Memphis Depay (PSV Eindhoven), Klaas-Jan Huntelaar (Schalke 04), Dirk Kuyt (Fenerbahce), Jeremain Lens (Dynamo Kiev), Robin van Persie (Manchester United).
Chile
Makipa: Claudio Bravo (Real Sociedad), Johnny Herrera (Universidad de Chile), Cristopher Toselli (Universidad Catolica)
Mabeki: Gary Medel (Cardiff City), Gonzalo Jara (Nottingham Forest), Jose Rojas (Universidad de Chile), Eugenio Mena (Santos), Mauricio Isla (Juventus)
Viungo: Jorge Valdivia (Palmeiras), Felipe Gutierrez (Twente), Jose Pedro Fuenzalida (Colo Colo), Francisco Silva (Osasuna), Arturo Vidal (Juventus), Charles Aranguiz (Internacional), Marcelo Diaz (Basel), Carlos Carmona (Atalanta), Miiko Albornoz (Malmo)
Mafowadi: Alexis Sanchez (Barcelona), Esteban Paredes (Colo Colo), Eduardo Vargas (Valencia), Jean Beausejour (Wigan Athletic), Mauricio Pinilla (Cagliari), Fabian Orellana (Celta).
Australia
Makipa: Mathew Ryan (Club Bruges), Mitchell Langerak (Borussia Dortmund), Eugene Galekovic (Adelaide United), Mark Birighitti (Newcastle Jets)
Mabeki: Curtis Good (Dundee United), Jason Davidson (Heracles Almelo), Matthew Spiranovic (Western Sydney Wanderers), Luke Wilkshire (Dynamo Moscow), Ivan Franjic (Brisbane Roar), Bailey Wright (Preston North End), Ryan McGowan (Shandong Luneng), Alex Wilkinson (Jeonbuk Hyundai Motors)
Viungo: Joshua Brillante (Newcastle Jets), Oliver Bozanic (Luzern), Mark Bresciano (Al Gharafa, Qatar), James Holland (Austria Vienna), Mile Jedinak (Crystal Palace), Mark Milligan (Melbourne Victory), Dario Vidosic (Sion), Adam Sarota (Utrecht), Matt McKay (Brisbane Roar), James Troisi (Atalanta), Massimo Luongo (Swindon)
Mafowadi: Tim Cahill (New York Red Bulls), Josh Kennedy (Nagoya Grampus), Matthew Leckie (FSV Frankfurt 1899), Tommy Oar (Utrecht), Tomas Rogic (Celtic), Ben Halloran (Fortuna Duesseldorf), Adam Taggart (Newcastle Jets)
KUNDI C
Colombia
Makipa: David Ospina (Nice), Faryd Mondragon (Deportivo Cali), Camilo Vargas (Independiente Santa Fe)
Mabeki: Mario Yepes (Atalanta), Cristian Zapata (AC Milan), Pablo Armero (West Ham United), Camilo Zuniga (Napoli), Santiago Arias (PSV Eindhoven), Eder Alvarez Balanta (River Plate), Carlos Valdes (San Lorenzo)
Viungo: Fredy Guarin (Inter Milan), Juan Cuadrado (Fiorentina), Victor Ibarbo (Cagliari), James Rodriguez (Monaco), Abel Aguilar (Toulouse), Juan Quintero (Porto), Carlos Sanchez (Elche), Aldo Leao Ramirez (Morelia), Alexander Mejia (Atletico Nacional)
Mafowadi: Jackson Martinez (Porto), Carlos Bacca (Sevilla), Teofilo Gutierrez (River Plate), Adrian Ramos (Hertha Berlin)
Greece
Makipa: Panaglotis Glykos (PAOK), Stefanos Kapino (Panathinaikos), Orestis Karnezis (Granada).
Mabeki: Jose Holebas (Olympiacos), Giannis Maniatis (Olympiacos), Kostas Manolas (Olympiacos), Sokratis Papastathopoulos (Borussia Dortmund), Dimitris Siovas (Olympiacos), Vasilis Torosidis (Roma), Giorgios Tzavellas (PAOK), Loukas Vyntra (Levante).
Viungo: Lazaros Christodoulopoulos (Bologna), Ioannis Fetfatzidis (Genoa), Giorgos Karagounis (Fulham), Kostas Katsouranis (PAOK), Panagiotis Kone (Bologna), Sotiris Ninis (PAOK), Andreas Samaris (Olympiacos), Panagiotis Tachtsidis (Torino), Alexandros Tziolis (Kayserispor).
Mafowadi: Theofanis Gekas (Konyaspor), Kostas Mitroglou (Fulham), Dimitris Salpingidis (PAOK), Georgios Samaras (Celtic).
Ivory Coast
Makipa: Boubacar Barry (Lokeren), Sylvain Gbohouo (Sewe Sport), Sayouba Mande (Stabaek)
Mabeki: Jean-Daniel Akpa Akpro (Toulouse), Serge Aurier (Toulouse), Souleyman Bamba (Trabzonspor), Arthur Boka (VfB Stuttgart), Viera Diarrassouba (Caykur Rizespor), Constant Djakpa (Eintracht Frankfurt), Kolo Toure (Liverpool), Didier Zokora (Trabzonspor)
Viungo: Geoffroy Serey Die (Basel), Ismael Diomande (St Etienne), Max Gradel (St Etienne), Cheick Tiote (Newcastle United), Yaya Toure (Manchester City)
Mafowadi: Mathis Bolly (Fortuna Dusseldorf), Wilfried Bony (Swansea City), Didier Drogba (Galatasaray), Gervinho (AS Roma), Salomon Kalou (Lille), Giovanni Sio (Basel), Didier Ya Konan (Hannover 96)
Japan
Makipa: Eiji Kawashima (Standard Liege), Shusaku Nishikawa (Urawa Reds), Shuichi Gonda (FC Tokyo) 
Mabeki: Masahiko Inoha (Jubilo Iwata), Yasuyuki Konno (Gamba Osaka), Yuto Nagatomo (Inter Milan), Masato Morishige (FC Tokyo), Atsuto Uchida (Schalke), Maya Yoshida (Southampton), Hiroki Sakai (Hannover), Gotoku Sakai (Stuttgart)
Viungo: Yasuhito Endo (Gamba Osaka), Makoto Hasebe (Nuremberg), Toshihiro Aoyama (Sanfrecce Hiroshima), Hotaru Yamaguchi (Cerezo Osaka)
Mafowadi: Keisuke Honda (AC Milan), Yoshito Okubo (Kawasaki Frontale), Shinji Okazaki (Mainz), Shinji Kagawa (Manchester United), Hiroshi Kiyotake (Nuremberg), Yoichiro Kakitani (Cerezo Osaka), Manabu Saito (Yokohama F Marinos), Yuya Osako (1860 Munich)
KUNDI D
Uruguay
Makipa: Fernando Muslera (Galatasaray), Martin Silva (Vasco da Gama), Rodrigo Munoz (Libertad).
Mabeki: Maximiliano Pereira (Benfica), Diego Lugano (West Bromwich Albion), Diego Godin, Jose Maria Gimenez (both Atletico Madrid), Sebastian Coates (Liverpool), Martin Caceres (Juventus), Jorge Fucile (Porto).
Viungo: Alvaro Gonzalez (Lazio), Alvaro Pereira (Sao Paulo), Walter Gargano (Parma), Egidio Arevalo Rios (Morelia), Diego Perez (Bologna), Cristian Rodriguez (Atletico Madrid), Gaston Ramirez (Southampton), Nicolas Lodeiro (Botafogo).
Mafowadi: Luis Suarez (Liverpool), Edinson Cavani (Paris St-Germain), Abel Hernandez (Palermo), Diego Forlan (Cerezo Osaka), Christian Stuani (Espanyol).
Costa Rica
Makipa: Keilor Navas (Levante), Patrick Pemberton (Alajuelense), Daniel Cambronero (Herediano)
Mabeki: Johnny Acosta (Alajuelense), Giancarlo Gonzalez (Columbus Crew), Michael Umana (Saprissa), Oscar Duarte (Club Bruges), Waylon Francis (Columbus Crew), Heiner Mora (Saprissa), Junior Diaz (Mainz 05), Cristian Gamboa (Rosenborg), Roy Miller (New York Red Bulls)
Viungo: Celso Borges (AIK Stockholm), Christian Bolanos (FC Copenhagen), Oscar Esteban Granados (Herediano), Michael Barrantes (Aalesund), Yeltsin Tejeda (Saprissa), Diego Calvo (Valerenga Oslo), Jose Miguel Cubero (Herediano)
Mafowadi: Bryan Ruiz (PSV Eindhoven), Joel Campbell (Arsenal/Olympiacos), Randall Brenes (Cartagines), Marco Urena (FC Kuban Krasnodar)
England
Makipa: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Bromwich Albion)
Mabeki: Leighton Baines (Everton), Gary Cahill (Chelsea), Phil Jagielka (England), Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Manchester United), Luke Shaw (Southampton), Chris Smalling (Manchester United)
Viungo: Ross Barkley (Everton), Steven Gerrard (Liverpool), Jordan Henderson (Liverpool), Adam Lallana (Southampton), Frank Lampard (Chelsea), James Milner (Manchester City), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Raheem Sterling (Liverpool), Jack Wilshere (Arsenal)
Mafowadi: Rickie Lambert (Southampton), Wayne Rooney (Manchester United), Daniel Sturridge (Liverpool), Daniel Welbeck (Manchester United)
Italy
Makipa: Gianluigi Buffon (Juventus), Mattia Perin (Genoa), Salvatore Sirigu (Paris Saint-Germain)
Mabeki: Ignazio Abate (Milan), Andrea Barzagli (Juventus), Leonardo Bonucci (Juventus), Giorgio Chiellini (Juventus), Matteo Darmian (Torino), Mattia De Sciglio (Milan), Gabriel Paletta (Parma)
Viungo: Alberto Aquilani (Fiorentina), Antonio Candreva (Lazio), Daniele De Rossi (Roma), Claudio Marchisio (Juventus), Marco Parolo (Parma), Andrea Pirlo (Juventus), Thiago Motta (Paris Saint-Germain), Marco Verratti (Paris Saint-Germain)
Mafowadi: Mario Balotelli (Milan), Antonio Cassano (Parma), Alessio Cerci (Torino), Ciro Immobile (Torino), Lorenzo Insigne (Napoli)
KUNDI E
Switzerland
Makipa: Diego Benaglio (Wolfsburg), Roman Buerki (Grasshopper), Yann Sommer (Basel)
Mabeki: Johan Djourou (Hamburg), Michael Lang (Grasshopper), Stephan Lichtsteiner (Juventus), Ricardo Rodriguez (Wolfsburg), Fabian Schaer (Basel), Philippe Senderos (Valencia), Steve von Bergen (Young Boys), Reto Ziegler (Sassuolo)
Viungo: Tranquillo Barnetta (Eintracht Frankfurt), Valon Behrami (Napoli), Blerim Dzemaili (Napoli), Gelson Fernandes (Freiburg), Gokhan Inler (Napoli), Xherdan Shaqiri (Bayern Munich), Valentin Stocker (Basel)
Mafowadi: Josip Drmic (Nuremberg), Mario Gavranovic (Zurich), Admir Mehmedi (Freiburg), Haris Seferovic (Real Sociedad), Granit Xhaka (Borussia Monchengladbach)
France
Makipa: Mickael Landreau (Bastia), Hugo Lloris (Tottenham), Stephane Ruffier (Saint-Etienne)
Mabeki: Lucas Digne (Paris Saint-Germain), Patrice Evra (Manchester United), Laurent Koscielny (Arsenal), Eliaquim Mangala (Porto), Mamadou Sakho (Liverpool), Raphael Varane (Real Madrid), Mathieu Debuchy (Newcastle), Bacary Sagna (Arsenal)
Viungo: Blaise Matuidi (Paris Saint-Germain), Rio Mavuba (Lille), Paul Pogba (Juventus), Moussa Sissoko (Newcastle), Yohan Cabaye (Paris Saint-Germain), Clement Grenier (Lyon), Mathieu Valbuena (Marseille)
Mafowadi: Loic Remy (Newcastle), Franck Ribery (Bayern Munich), Karim Benzema (Real Madrid), Olivier Giroud (Arsenal), Antoine Griezmann (Real Sociedad)
Ecuador
Makipa: Alexander Dominguez (Liga de Quito), Maximo Banguera (Barcelona, Ecuador), Adrian Bone (El Nacional).
Mabeki: Gabriel Achilier (Emelec), Walter Ayovi (Pachuca), Oscar Bagui (Emelec), Frickson Erazo (Flamengo), Jorge Guagua (Emelec), Juan Carlos Paredes (Barcelona, Ecuador.
Viungo: Segundo Castillo (Al Hilal), Carlos Gruezo (Stuttgart), Renato Ibarra (Vitesse Arnhem), Fidel Martinez (Tijuana), Edison Mendez (Santa Fe), Christian Noboa (Dinamo Moscow), Luis Saritama (Barcelona, Ecuador), Antonio Valencia (Manchester United).
Mafowadi: Jaime Ayovi (Tijuana), Felipe Caicedo (Al-Jazira), Jefferson Montero (Morelia), Joao Rojas (Cruz Azul), Enner Valencia (Pachuca), Michael Arroyo (Atlante).
Honduras
Makipa: Noel Valladares (Olimpia), Donis Escober (Olimpia), Luis Lopez (Real Espana).
Mabeki: Brayan Beckeles (Olimpia), Arnold Peralta (Rangers), Emilio Izaguirre (Celtic), Juan Carlos Garcia (Wigan), Maynor Figueroa (Hull), Victor Bernardez (San Jose Earthquakes), Osman Chavez (Qingdao Jonoon), Juan Pablo Montes (Motagua).
Viungo: Luis Garrido (Olimpia), Roger Espinoza (Wigan), Jorge Claros (Motagua), Wilson Palacios (Stoke), Oscar Boniek Garcia (Houston Dynamo), Andy Najar (Anderlecht), Mario Martinez (Real Espana), Marvin Chavez (Colorado Rapids).
Mafowadi: Jerry Bengtson (New England Revolution), Jerry Palacios (Alajuelense), Carlo Costly (Real Espana), Rony Martinez (Real Sociedad).
KUNDI F
Argentina
Makipa: Sergio Romero (Sampdoria), Mariano Andujar (Catania), Agustin Orion (Boca Juniors)
Mabeki: Pablo Zabaleta (Manchester City), Federico Fernandez (Napoli), Ezequiel Garay (Benfica), Marcos Rojo (Sporting Lisbon), Hugo Campagnaro (Inter Milan), Martin Demichelis (Manchester City), Jose Basanta (Monterrey)
Viungo: Javier Mascherano (Barcelona), Fernando Gago (Boca Juniors), Lucas Biglia (Lazio), Ricardo Alvarez (Inter Milan), Augusto Fernandez (Celta Vigo), Angel Di Maria (Real Madrid), Maxi Rodriguez (Newell's Old Boys), Enzo Perez (Benfica)
Mafowadi: Lionel Messi (Barcelona), Gonzalo Higuain (Napoli), Sergio Aguero (Manchester City), Rodrigo Palacio (Inter Milan), Ezequiel Lavezzi (Paris Saint-Germain)
Bosnia & Herzegovina
Makipa: Asmir Begovic (Stoke City), Jasmin Fejzic (Aalen), Asmir Avdukic (Borac Banja Luka)
Mabeki: Emir Spahic (Bayer Leverkusen), Sead Kolasinac (Schalke), Ermin Bicakcic (Eintracht Braunschweig), Ognjen Vranjes (Elazigspor), Toni Sunjic (Zorya Lugansk), Avdija Vrsajevic (Hajduk Split), Mensur Mujdza (Freiburg), Ervin Zukanovic (Gent)
Viungo: Zvjezdan Misimovic (Guizhou Renhe), Haris Medunjanin (Gaziantepspor), Miralem Pjanic (Roma), Sejad Salihovic (Hoffenheim), Senad Lulic (Lazio), Izet Hajrovic (Galatasaray), Senijad Ibricic (Erciyesspor), Edin Visca (Istanbul BB), Tino Susic (Hajduk Split), Muhamed Besic (Ferencvaros), Anel Hadzic (Sturm Graz)
Mafowadi: Edin Dzeko (Manchester City), Vedad Ibisevic (VfB Stuttgart)
Iran
Makipa: Daniel Davari (Eintracht Braunschweig), Alireza Haghighi (Sporting Covilha, on loan from Rubin Kazan), Rahman Ahmadi (Sepahan).
Mabeki: Hossein Mahini (Persepolis), Steven 'Mehrdad' Beitashour (Vancouver Whitecaps), Pejman Montazeri (Umm Salal), Jalal Hosseini (Persepolis), Amir-Hossein Sadeghi (Esteghlal), Ahmad Alenemeh (Naft), Hashem Beikzadeh (Esteghlal), Mehrdad Pouladi (Persepolis).
Viungo: Javad Nekounam (Kuwait SC), Andranik Teymourian (Esteghlal), Reza Haghighi (Persepolis), Ghasem Haddadifar (Zob Ahan), Bakhtiar Rahmani (Foolad), Ehsan Hajsafi (Sepahan).
Mafowadi: Ashkan Dejagah (Fulham), Masoud Shojaei (Las Palmas), Alireza Jahanbakhsh (NEC Nijmegen), Reza Ghoochannejhad (Charlton), Karim Ansarifard (Persepolis, on loan to Tractor Sazi), Khosro Heydari (Esteghlal)
Nigeria
Makipa: Vincent Enyeama (Lille), Austin Ejide (Hapoel Be'er Sheva), Chigozie Agbim (Gombe United).
Mabeki: Elderson Echiejile (Monaco), Efe Ambrose (Celtic), Godfrey Oboabona (Rizespor), Azubuike Egwuekwe (Warri Wolves), Kenneth Omeruo (Chelsea), Juwon Oshaniwa (Ashdod), Joseph Yobo (Fenerbahce), Kunle Odunlami (Sunshine Stars).
Viungo: John Mikel Obi (Chelsea), Ramon Azeez (Almeria), Ogenyi Onazi (Lazio), Reuben Gabriel (Waasland-Beveren), Michael Babatunde (Volyn Lutsk).
Mafowadi: Ahmed Musa (CSKA Moscow), Shola Ameobi (Newcastle), Emmanuel Emenike (Fenerbahce), Peter Odemwingie (Stoke), Michael Uchebo (Cercle Brugge), Victor Moses (Chelsea), Uche Nwofor (Heerenveen).
KUNDI G
Germany
Makipa: Manuel Neuer (Bayern Munich), Roman Weidenfeller (Borussia Dortmund), Ron-Robert Zieler (Hanover 96)
Mabeki: Jerome Boateng (Bayern Munich), Kevin Grosskreutz (Borussia Dortmund), Erik Durm (Borussia Dortmund), Benedikt Hoewedes (Schalke 04), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Per Mertesacker (Arsenal), Philipp Lahm (Bayern Munich)
Viungo: Julian Draxler (Schalke 04), Matthias Ginter (Freiburg), Mario Gotze (Bayern Munich), Christoph Kramer (Borussia Moenchengladbach), Sami Khedira (Real Madrid), Toni Kroos (Bayern Munich), Thomas Muller (Bayern Munich), Mesut Ozil (Arsenal), Lukas Podolski (Arsenal), Marco Reus (Borussia Dortmund), Andre Schuerrle (Chelsea), Bastian Schweinsteiger (Bayern Munich)
Fowadi: Miroslav Klose (Lazio)
Portugal
Makipa: Beto (Sevilla), Eduardo (Braga), Rui Patrício (Sporting).
Mabeki: Andre Almeida (Benfica), Bruno Alves (Fenerbahce), Fabio Coentrao (Real Madrid), Joao Pereira (Valencia), Neto (Zenit St Petersburg), Pepe (Real Madrid), Ricardo Costa (Valencia).
Viungo: Joao Moutinho (Monaco), Miguel Veloso (Dynamo Kiev), Raul Meireles (Fenerbahce), Ruben Amorim (Benfica), William Carvalho (Sporting Lisbon), Rafa (Braga).
Mafowadi: Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Eder (Braga), Helder Postiga (Lazio), Hugo Almeida (Besiktas), Nani (Manchester United), Varela (FC Porto), Vieirinha (Wolfsburg).
Ghana
Makipa: Fatau Dauda (Orlando Pirates), Adam Kwarasey (Stromsgodset), Stephen Adams (Aduana Stars)
Mabeki: Samuel Inkoom (Platanias), Daniel Opare (Standard Liege/Porto), Harrison Afful (Esperance), John Boye (Rennes), Jonathan Mensah (Evian), Rashid Sumalia (Mamelodi Sundowns)
Viungo: Michael Essien (AC Milan), Sulley Muntari (AC Milan), Rabiu Mohammed (Kuban Krasnodar), Kwadwo Asamoah (Juventus), Emmanuel Agyemang-Badu (Udinese), Afriyie Acquah (Parma), Christian Atsu (Vitesse), Albert Adomah (Middlesbrough), Andre Ayew (Marseille), Mubarak Wakaso (Rubin Kazan)
Mafowadi: Asamoah Gyan (Al Ain), Kevin-Prince Boateng (Schalke 04), Abdul Majeed Waris (Valenciennes), Jordan Ayew (Sochaux)
USA
Makipa: Brad Guzan (Aston Villa), Tim Howard (Everton), Nick Rimando (Real Salt Lake).
Mabeki: DaMarcus Beasley (Puebla), Matt Besler (Sporting Kansas City), John Brooks (Hertha Berlin), Geoff Cameron (Stoke City), Timmy Chandler (Nuremberg), Omar Gonzalez (LA Galaxy), Fabian Johnson (Hoffenheim), DeAndre Yedlin (Seattle Sounders).
Viungo: Kyle Beckerman (Real Salt Lake), Alejandro Bedoya (Nantes), Michael Bradley (Toronto FC), Brad Davis (Houston Dynamo), Mix Diskerud (Rosenborg), Julian Green (Bayern Munich), Jermaine Jones (Besiktas), Graham Zusi (Sporting Kansas City).
Mafowadi: Jozy Altidore (Sunderland), Clint Dempsey (Seattle Sounders), Aron Johannsson (AZ Alkmaar), Chris Wondolowski (San Jose Earthquakes).
KUNDI H
Belgium
Makipa: Thibaut Courtois (Atletico Madrid, on loan from Chelsea), Simon Mignolet (Liverpool), Koen Casteels (Hoffenheim) [au Silvio Proto (Anderlecht)*
Mabeki: Toby Alderweireld (Atletico Madrid), Laurent Ciman (Standard Liege), Nicolas Lombaerts (Zenit St Petersburg), Vincent Kompany (Manchester City), Daniel Van Buyten (Bayern Munich), Anthony Vanden Borre (Anderlecht), Thomas Vermaelen (Arsenal), Jan Vertonghen (Tottenham)
Viungo: Nacer Chadli, Mousa Dembele (both Tottenham), Steven Defour (Porto), Kevin De Bruyne (Wolfsburg), Marouane Fellaini, Adnan Januzaj (both Manchester United), Eden Hazard (Chelsea), Kevin Mirallas (Everton), Divock Origi (Lille), Axel Witsel (Zenit St Petersburg),
Mafowadi: Romelu Lukaku (Everton, Mkopo toka Chelsea), Dries Mertens (Napoli). *Inategemea kupona kwa Casteels
Algeria
Makipa: Rais Mbolhi (CSKA Sofia), Cedric Si Mohamed (CS Constantine), Mohamed Lamine Zemmamouche (USM Alger).
Mabeki: Essaid Belkalem (Watford), Madjid Bougherra (Lekhwya Club), Liassine Cadamuro (Mallorca), Faouzi Ghoualm (Napoli), Rafik Halliche (Academica Coimbra), Aissa Mandi (Stade Reims), Carl Medjani (Valenciennes), Djamel Mesbah (Livorno), Mehdi Mostefa (AC Ajaccio)
Viungo: Nabil Bentaleb (Tottenham), Yasine Brahimi (Granada), Medhi Lacen (Getafe), Saphir Taider (Inter Milan), Hassan Yebda (Udinese)
Mafowadi: Abdelmoumene Djabou (Club Africain), Sofiane Feghouli (Valencia), Nabil Ghilas (Porto, Riyad Mahrez (Leicester City), Islam Slimani (Sporting Lisbon), Hilal Soudani (Dinamo Zagreb).
Russia
Makipa: Igor Akinfeev (CSKA Moscow), Yury Lodygin (Zenit St. Petersburg), Sergey Ryzhikov (Rubin Kazan).
Mabeki: Vasili Berezutskiy (CSKA Moscow), Vladimir Granat (Dynamo Moscow), Andrey Eshchenko (Anzhi Makhachkala), Sergey Ignashevich (CSKA Moscow), Alexey Kozlov (Dynamo Moscow), Dmitry Kombarov (Spartak Moscow), Andrey Semenov (Terek Grozny), Georgi Schennikov (CSKA Moscow).
Viungo: Denis Glushakov (Spartak Moscow), Igor Denisov (Dynamo Moscow), Alan Dzagoev (CSKA Moscow), Yury Zhirkov (Dynamo Moscow), Alexey Ionov (Dynamo Moscow), Alexander Samedov (Lokomotiv Moscow), Victor Faizulin (Zenit St Petersburg), Oleg Shatov (Zenit St. Petersburg), Roman Shirokov (Krasnodar).
Mafowadi: Maxim Kanunnikov (Amkar Perm), Alexander Kerzhakov (Zenit St Petersburg), Alexander Kokorin (Dynamo Moscow)
South Korea
Makipa: Jung Sung-ryeong (Suwon Bluewings), Kim Seung-gyu (Ulsan Horang-i), Lee Bom-young (Busan I'Park)
Mabeki: Kim Jin-soo (Albirex Niigata), Yun Suk-young (QPR), Kim Young-kwon (Guangzhou Evergrande), Hwang Seok-ho (Sanfrecce Hiroshima), Hong Jeong-ho (Augsburg), Kwak Tae-hwi (Al Hilal), Lee Yong (Ulsan Horang-i), Kim Chang-soo (Kashiwa Reysol).
Viungo: Ki Seung-yueng (Swansea (on loan at Sunderland)), Ha Dae-sung (Beijing Guoan), Han Kook-young (Kashiwa Reysol), Park Jung-woo (Guangzhou R&F), Son Heung-min (Bayer Leverkusen), Kim Bo-kyung (Cardiff City), Lee Chung-yong (Bolton Wanderers), Ji Dong-won (Augusburg).
Mafowadi: Koo Ja-cheol (Mainz), Lee Keun-ho (Sangju Sangmu), Park Chu-young (Arsenal), Kim Shin-wook (Ulsan Horang-i).