Timu ya Mpira wa miguu ywa watoto wa Mtaani ya Tanzania ilitwaa la Dunia kwa watoto wa Mtaani leo
imetinga Bungeni na Kupongeza na Bunge kwa kuipa heshima Tanzania.
Akizungumza Bungeni Mjini Dodoma wakati wa Matanganzo Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la katiba,Samia Suluh Hassan Amesema bunge linaipongeza timu hiyo ya Watoto wa Mtaani kwa kuchukua ushindi huo pamoja na kuitngaza Tanzania.Pia mmoja ya wabunge mmoja ya wabunge hilo ametoa hoja kwa wabunge kichangia timu hiyo ili kusaidia zaidi .
Timu hiyo ilitwaa kombe la Dunia kwa watoto wa Mtaani baada ya kuilaza timu ya Burundi mabao 3-1 kwenye fainali iliyopigwa jijini Rio de Janeiro nchini Brazili
No comments:
Post a Comment