Huyu Ndio Bwana Mdogo anyetoka Shilole anayefahamika Kama Nuh Mziwanda Chachalundoa
Akizungumza na U heard ya XXL, Clouds FM leo,Shilole na Nuhu wamesema
wanapendana sana na wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa mda mrefu sasa.
“Tunajipanga mambo fulani yakae sawa pamoja na mke wangu kila kitu
kitakaa sawa,” alisema Nuhu.
“Kweli tunakama miezi miwili ,mitatu
tunashukuru Mungu tunapendana kiukweli. Yeye ananipenda na mimi nampenda
pia, mimi nipo real kwake na yeye yupo real kwangu kila mtu yupo real
kwa mwezake. Nilikuwa na girlfriend kipindi hicho ila tumeachana,
tumegombana siunajua, na nimekaa muda mrefu bila kuwa na girlfriend,
yaani mambo yalifanya tukaonana tukapendana hivyo .First time nakumbuka
tulikutana studio,alikuja studio Kijitonyama ambapo mimi nilikuwa
nafanya kazi natengeneza beat zangu skeleton tukaongea mambo mengi ya
kimaisha hatukuwa in deep sana kihivyo, ila tulivyoendelea kujuana
tukaona kila mtu akamzoea mwenzie,mimi nikiwa mbali anakasirika na mimi
nikiwa mbali nay yeye anakasirika. Kwahiyo end of the day tukawa
tunapendana kweli yakawa mapenzi.”
Naye Shilole alidai kuwa ni kweli wanapenda na Nuhu.
“Sijamkana Nuhu,kwanini nimkane kwa sababu gani? Yeye ananipenda na
mimi nampenda,” alisema Shilole huku akisema yupo tayari kwa kufunga
ndoa na msanii huyo.
Hata ivyo Shilole Amekuwa akioongoza nae mchumba wake kwenye Show Mbali mbali anapokuwa anakuwa amakwenda kufanya show
Jumapili iliyopita Shilole alikuwa Maisha Club Dodoma akifanya Show pia alikuwa nae katika Show ile katika Show ile Kabala ya kupanda kwa Shishi byb alipanda Mchumba wake uyo kuimba na kufuatiwa na Darasa Kisha Shishi Mwenyewe na kupewa shavu na Recho Toka THT,Steve Nyerere wa Bongo Movie,Kalala Junior
No comments:
Post a Comment