Sina uhakika sana
kama kundi (group) aliloanzisha Breezy kwa facebook ni kwa ajili ya
kusapoti na kuinua muziki wa Dodoma kama ambavyo ma group mengine
yanafanya na kilichonifanya kufikiria ivo ni post ambayo ameipost yeye
mwenyewe (Brezy) akiuliza watu ngoma mbaya za msanii Zayumba ambaye ni
mfalme wa show za Jamhuri stadium, Friday ambaye ilishawahi semekana
kwamba alikuwa msanii bora zaidi wa r&b miaka mitatu iliyopita kwa
Dom pamoja na DaHwa ambaye ni mmoja kati ya wasanii wenye ujaribu wa
kujaribu mambo na pia ni mwanamke ambaye anajiamini...!
Ushauri wangu kwa
Brezy ni kwamba aachane na kuwapaka choo wasanii ambao wanatumia muda
wao kuandaa kazi za muziki kwa ajili yao pamoja na wale ambao wanapenda
kuwasikiliza na sio kwa ajili yake xoxo next time akitaka kujua nyimbo
mbaya za wasanii aanze na kuulizia watu kuhusu nyimbo zake na sio kama
ambavyo anataka kuurudisha nyuma muziki wa Dom ambao watu tunahangaika
kuona unarudisha heshima yake inayotaka kupotea...! #NiHayoTuuuNoBeef
TAJA NYIMBO MBAYA KUTOKA KWA WASANII HAWA WA DODOMA
=MCHUNGAJ ZAYUMBA
=DA HAWA
=FRIDAY
=SOMETYMEZ MEMO
=MCHUNGAJ ZAYUMBA
=DA HAWA
=FRIDAY
=SOMETYMEZ MEMO
No comments:
Post a Comment