Karne hii watu maarufu wamekuwa wakijiweka wazi kukiri kujiunga katika
jumuiya ya watu wanaomwabudu shetani "Freemason" kama Jay z, Kanye West,
Drake, Lady Gaga na wengine kibao kwa minajili ya kujipatia utajiri na
umaarufu na ndipo hata siri zao zimekuwa zikivuja siku hadi siku.
Mingoni mwa siri zao hizo ni nembo ambazo zimekuwa zikiwawakilisha
zikiwa na maana ya kumpinga Mungu na kumpa sifa shetani.
Msalaba
uliogezwa ""Inverted Cross" ni moja kati ya nembo hizo ukiwa na maana ya
kwenda kinyume na ukristu unaomtukuza Mungu. Juma Jux katika video yake
mpya ya Nitasubiri anaeyoendelea kushoot huko China ameonekana akiwa
ametupia vazi lenye msalaba uliogeuzwa.
Juhudi zinaendelea kupata
mawasiliano nae ili kujua ukweli wa jambo hili kama anajua chochote
kuhusu hili au yeye kwake hizo ni swagz tu.
Credit..... thecapitaltz.com
No comments:
Post a Comment