Aliyekuwa mwakilishi mara mbili kutoka kutoka Tanzani
kwenye Big Brother Africa Mwisho Mwabamba Ataoneka hivi karibuni kwenye kituo
cha runinga cha Tv1 kama matangazaji wa Tv Hiyo
Kupitia
Instagramu ya Tv1 Wameweka picha ya pamoja na paadhi ya watangazaji wa Tv hiyo
akiwemo wa Mwisho na kuandika;Guess who will be next as#TV1Host#Tv1tanzania#comingsoon#tvproductio#tv#tanzania#Africa#Darwssalaam#Mickocheni#Set
Mwisho (Kulia) Akiwa akiwa na watu wengine katiaka uzinduzi wa Tv1 siku chache ziliozopitapa
Credit...Bongo5
No comments:
Post a Comment