Anaitwa Witnesz kati ya wasanii wa kike
wanaofanya mziki wa Hip Hop hapa Tanzania, dakika chache zilizopita
alipost kitu kwenye account yake ya Facebook juu ya kuingia kwenye Bongo
Movie.
“Tsup ma pipoo ninatangaza Rasmi ya
kwamba this year mbali na shughuli za kimuziki pia nitakuwa ninaigiza na
kwa kuanza nitakuwepo kwenye Tamthilia inayo itwa Salt en sugar ni
Tamthilia inayoigizwa na wabongo ila kwa kutumia Lugha ya kiingereza
mwanzo mwisho, na kuanzia next week Nitaanza Tour ya mashuleni ambapo
tutaanza na Dr Didas pamoja na St anthony na kwa anyetaka kununua album
compilation ya video zangu itakuwa available na itauzwa kwa affordable
price 5,000 only na kwa watu wengine mwaweza kuoder that album kwa the
same price hadi nitakapo maliza tour mwanzoni mwa April na kutakuwa na
videos kumi pamoja na 2bonus videos 0787 609090 much love!”
No comments:
Post a Comment