expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Saturday, February 8, 2014

ALICHOKISEMA MMOJA YA MEMBER WA N07 KUHUSU CHEMBA SQUAD TOKA DODOMA



Kupitia account yake ya facebook mmoja ya creater wa crew ya hip hop toka N07 Frank Romeo  aka Frank Music amepost mawazo yake kuhusu mziki wa Dodoma na Kusema

Attention PlEase:

Napenda kuongea mawazo yangu binafsi.Kaka zetu waliotangulia katka muziki(wanachamber) wameuwakilisha vizur mkoa wetu wa dodoma ila kuna sehemu walikosea.sehemu inayotucost sana had leo.Kitendo cha kuto wawekea wasanii wengne channel kifupi kuwashka mikono.sina maana mbaya.
kutokana na hlo nimeona kuanzisha kampeni maalumu itakayokuwa inasapoti muzk na vpaj vngne.ikipewa jina la TUSHIKANE MIKONO.kampeni hii lengo kubwa ni kuhakikisha wasanii wa dodoma na sanaa yao wananufaika.ni mawazo bdo sijaandika proposal.ila nawatambua watu ambao ninaamini wanaweza na wananguvu endapo wataunganisha nguvu na sisi ili tufikie malengo.
CENTRAL ZONE
SLIMSAL
MC MATHIAS MC PILIPILI
BEN PAUL
MC MWANGATA.
MEDIA ZOTE ZA MKOAN KWETU
kwa namna yoyote naomba kupokea mawazo yenu kwenye.na vle napenda mumtambue erick backamaza kuwa ni video producer mzuri. na pia cascos wa akonshazi music.
naomben mawazo yenu.
Note:like hazitanisaidia.naomba mawazo yenu.na kama utaona wazo ni la kipuuz ruksa kusema.

No comments:

Post a Comment