Hii
ni video ambayo imezunguka sana leo kwenye mitandao mbalimbali ya
kijamii ambayo wadau wengi wa muziki wamedai ni kama kudharirishwa kwa
wasanii wa Tanzania na kuonekana kama hawana msimamo na kazi yao
waifanyayo.
Video
hii inamunyesha memba wa zamani wa kundi hilo la Mtanashati
Intertainment Pnc,akimuomba msamaha Big boss wa kundi hilo Ostaz Juma
Namusoma.
Bonyeza play kuona video hiyo.
No comments:
Post a Comment