expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Monday, January 27, 2014

MZEE DUDE WA FUTUHI AFARIKI DUNIA....SOMA ZAID


Habari za kuaminika kupitia post za facebook kwa watu mbalimbali majira ya jion hii mmoja waaigizaji wa kundi la futuhi kutoka jijini mwanza linalorusha Michezo yake kupitia luninga ya Star Tv Mzee Dude amefariki Dunia

Kupitia account ya facebook ya Mmoja wa watangazaji wa Star Tv  Nyamiti Kayora jioni hii amepost Stutas kupitia ukurasa wake facebook hii ndio post aliyopost mtangazaji uyo

PUMZIKA KWA AMANI MZEE WETU DUDE FUTUHI STAR TV,TOKA SA 1O JIONI HATUKO NAYE HAKIKA TUTAKUKUMBUKA DAIMA KATIKA TASNIA YA UCHEKESHAJI NA UELIMISHAJI KUPITIA SANAA YA UIGIZAJI

RIP...............Mzee Dude

No comments:

Post a Comment