expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Friday, January 31, 2014

MSANII SIMCO SIMMONS ALAANI VIKAALI KUVUJA KWA NGOMA YAKE....



Msanii wa RnB ambaye kwa sasa anatamba na Track yake ya Pete, Ben Pol ameamua kufunguka kuhusiana na kuvuja au ku-Leak kwa nyimbo (Nyimbo zao kusikika kabla wao hawajazitoa). Mtazamo wa Ben Pol unatofautiana sana na Stamina

Ben Pol amezungumzia swala la ku-Leak kwa nyimbo za wasanii hasa Bongo sambamba na kufunguka kuhusu moja ya nyimbo zake ku-Leak na hatua aliyochukua. Ben Pol alisema:
- See more at: http://www.keezywear.com/2013/01/mtazamo-wa-ben-pol-kuhusu-kuvuja-kwa.html#sthash.Hbyh6wgM.dpuf

Msanii wa Bongo Flevar ambaye kwa sasa anatamba na Track yake ya Mwisho,Simco
ameamua kufunguka kuhusiana na kuvuja au kuvuja kwa nyimbo yake aliyoirekodi kitambi kidogo

SIMCO amezungumzia swala la kusambaa kwa nyimbo za wasanii hasa  sambamba na kufunguka kuhusu moja ya nyimbo zake kuvuuja na hatua aliyochukua.Simco

alisema

Hii Nyimbo yangu iliyovuja hiyo nimeikuta kwenye mtandao 1 leo niliifanya kwenye ile ile studio aliyofanya mirror nyimbo ya buguruni naye pia nyimbo yake ilivuja baada ya laptop ya producer bindo kupotea kitendo hiko kimeniuma sana sema ndo ivyo nimewaachia fans waiskie tu”

No comments:

Post a Comment