DJ RODGER
ABM RADIO
Friday, January 31, 2014
Exclusive: Wimbo mpya wa Ngwair 'Alma' kuachiwa rasmi siku ya Valentine mwaka huu, una story ya kweli
Ikiwa ni miezi nane imepita tangu afariki mkali wa mitindo huru, Albert Mangwea aka Ngwair, wimbo wake mpya alioupa jina la ‘Alma’ unatarajiwa kuachiwa rasmi February 14, 2014 ambayo ni siku maalum ya wapendanao (Valentine’s day).
Akiongea na tovuti ya Times Fm, Muro ambaye ni moja kati ya wasimamizi wa kazi za Albert Mangwea ambaye anaisimamia project ya wimbo huo, amesema kuwa wimbo huo uliorekodiwa ndani ya AM Records chini ya producer Manecky utaachiwa rasmi siku ya Valentine na kwamba anaendelea kuwasiliana na familia yake kuhusu mapato ya wimbo huo ambayo atapewa mama yake Ngwair.
“Yeye alitaka kuitoa ngoma hiyo siku ya Valentine mwaka jana, kwa hiyo na mimi nimeamua kuitoa siku hiyo hiyo. Niliongea na Familia Morogoro, na ntawapigia tena ili tuangalie tunachofanya kwa sababu kuna vitu vingi vya kuconsider, kuna mambo ya ringtones na nini na nataka nizungumze pia na makampuni ya simu. Kwa sababu kila alichotakiwa apate yeye (Ngwair) inabidi apate mama yake.” Muro ameiambia tovuti ya Times Fm.
Muro ameeleza kuwa wimbo huo wenye ujumbe wa mapenzi unazungumzia story ya kweli na ulikuwa maalum kwa mtu wa karibu wa marehemu Ngwair, “Kila kitu alichokuwa anakiimba kilikuwa cha ukweli, ni true story.”
January 16, 2013, Ngwair mwenyewe alitangaza kuwa ataachia wimbo huo siku ya Valentine (February 14, 2013) ambao alidai ni zawadi ya Valentine kwa fans wake na wimbo huo ulikuwa kwenye album yake iitwayo MIMI 3, lakini baadae aliahirisha na kuachia wimbo wa ‘Beef’ akiwa na TID.
Muro amesema kuwa kuna matatizo yalitokea wakati huo ambayo marehemu Ngwair hakupenda kuyazungumzia ambayo yalisababisha yeye kuahirisha kutoa wimbo huo.
Usikose kusikiliza kusikiliza The Jump Off ya 100.5 Times Fm leo kwa undani wa habari, ambapo utamsikiliza Muro akifafanua.
Source.. timesfm.co.tz
MSANII SIMCO SIMMONS ALAANI VIKAALI KUVUJA KWA NGOMA YAKE....
Msanii wa RnB ambaye kwa sasa anatamba na Track yake ya Pete, Ben Pol ameamua kufunguka kuhusiana na kuvuja au ku-Leak kwa nyimbo (Nyimbo zao kusikika kabla wao hawajazitoa). Mtazamo wa Ben Pol unatofautiana sana na Stamina.
Ben Pol amezungumzia swala la ku-Leak kwa nyimbo za wasanii hasa Bongo sambamba na kufunguka kuhusu moja ya nyimbo zake ku-Leak na hatua aliyochukua. Ben Pol alisema: - See more at: http://www.keezywear.com/2013/01/mtazamo-wa-ben-pol-kuhusu-kuvuja-kwa.html#sthash.Hbyh6wgM.dpuf
Ben Pol amezungumzia swala la ku-Leak kwa nyimbo za wasanii hasa Bongo sambamba na kufunguka kuhusu moja ya nyimbo zake ku-Leak na hatua aliyochukua. Ben Pol alisema: - See more at: http://www.keezywear.com/2013/01/mtazamo-wa-ben-pol-kuhusu-kuvuja-kwa.html#sthash.Hbyh6wgM.dpuf
Msanii wa
Bongo Flevar ambaye kwa sasa anatamba na Track yake ya Mwisho,Simco
ameamua kufunguka kuhusiana na kuvuja au kuvuja kwa nyimbo yake aliyoirekodi kitambi kidogo
ameamua kufunguka kuhusiana na kuvuja au kuvuja kwa nyimbo yake aliyoirekodi kitambi kidogo
SIMCO amezungumzia swala la kusambaa kwa nyimbo za wasanii hasa sambamba na kufunguka kuhusu moja ya nyimbo zake kuvuuja na hatua aliyochukua.Simco
alisema
“Hii
Nyimbo yangu iliyovuja hiyo nimeikuta kwenye mtandao 1 leo niliifanya kwenye
ile ile studio aliyofanya mirror nyimbo ya buguruni naye pia nyimbo yake
ilivuja baada ya laptop ya producer bindo kupotea kitendo hiko kimeniuma sana
sema ndo ivyo nimewaachia fans waiskie tu”
Wednesday, January 29, 2014
HUYU NDIO MSANII WA BONGO MOVIE ALIYEJINYONGA....
MSANII
Victor Peter kutoka Bongo Movie amefariki dunia usiku wa kuamkia 28/01/2014 kwa kujinyonga katika gest moja iliyotambulika kwa jina
la SAFARI JUNIOUR iliyoko maeneo ya Kisosora mkoani Tanga.
MASHABIKI WA MUSIC WA HIP HOP DUNIANI WAKASIRISHWA KWA MSANII KENDRICK LAMAR KUNYIMWA TUZO YA GRAMMY
There has been a lot of discussion in the showbiz scenes since Monday about the Hip Hop community’s reaction to Macklemore’s win for Best Rap Album at this year’s Grammys Awards. The fact that Macklemore himself even went on to apologize to Kendrick Lamar for winning, has created more points for debate.
Monday, January 27, 2014
BAADA YA KUKOMAA NA JIJI,SASA NI CHUNA BUZI KUTOKA KWA SHILOLE KUACHIA WIMBO UWO MPYA JANUARY 31
Shilole
aka Shishi Bybee e ambaye mwaka jana kwake uliisha vizuri na wimbo wake
‘Nakomaa na Jiji’ uliompa mchongo nchini Uingereza, sasa January 31,
mwaka huu anatarajia kuongeza ladha nyingine kwenye muziki wa bongo
flava kwa kuachia wimbo mpya ‘Chuna Buzi’.
MZEE DUDE WA FUTUHI AFARIKI DUNIA....SOMA ZAID
Habari za kuaminika kupitia post za facebook kwa watu mbalimbali majira ya jion hii mmoja waaigizaji wa kundi la futuhi kutoka jijini mwanza linalorusha Michezo yake kupitia luninga ya Star Tv Mzee Dude amefariki Dunia
Kupitia account ya facebook ya Mmoja wa watangazaji wa Star Tv Nyamiti Kayora jioni hii amepost Stutas kupitia ukurasa wake facebook hii ndio post aliyopost mtangazaji uyo
PUMZIKA KWA AMANI MZEE WETU DUDE FUTUHI STAR TV,TOKA SA 1O JIONI HATUKO NAYE HAKIKA TUTAKUKUMBUKA DAIMA KATIKA TASNIA YA UCHEKESHAJI NA UELIMISHAJI KUPITIA SANAA YA UIGIZAJI
RIP...............Mzee Dude
KAMA UMEZALIWA SIKU YA LEO UTAKUWA UMEZALIWA TAREHE SAWA NA MSANII WA HUYU HAPA ......BOFYA HAPA KUJUA
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Msanii AINEA Akisherehekea
kutimiza miaka 20na.....
Happy Birthday AINEA
kutimiza miaka 20na.....
Happy Birthday AINEA
Hizi ni post zake kupitia Account yake Facebook
Nimiaka 20na...imepita Ainea
nilipozaliwa namama angu ELIKA ktk mkoa wadom wilaya ya dom mjini kata ya
makulu miaka michache kupita mama yangu alifariki 1998 nababa kuao mke mwingne
mateso nanjaa ikawa sehemu yamaisha yangu Sitosahau mwaka2004
aliendelea kupost
INAENDELEA HAPA sitosahau mwaka 2004 nikiwanikiwa nasoma dom
sec nilirudi nyumbani nakukuta wadogo zangu watoto wamama yangu wakambo
wanakula niliuliza chakula nikaambiwa kimefungiwa chumbani coz ilikuwa
nikawaida kunyimwa chakula INAENDELEA CHINI
Cku hyo nilichoka nakuchukua nyundo nakuvunja mlango nikala
chaku lakini bdae alinisingizia nilitaka kumbaka upole wangu ulinisaidia watu
hakuamini nakesi nikashinda MUNGU MKUBWA LEO HATA YEYE ANAJIVUNIA KIPAJI CHANGU
NAMAFANIKIO YANGU USIKATE TAMAA
Sunday, January 26, 2014
HIZI NDIZO SABABU ZILIZOMFANYA MAKAMUA KUWA KIMYA.
Makamua,Q jay na Joselin waliwahi kuwa pamoja kikazi na kundi lao la
Wakali kwanza ambapo baadae zilitoka taarifa za kuokoka kwa Q jay na
kuachana na muziki,japo kuna taarifa ambazo si rasmi zimetoka kwamba Q
jay kwa sasa ameanza kuandaa nyimbo za Gospel so watu wajiandae kumpokea
upande huo.
Saturday, January 25, 2014
GARI ANALOTUMIA DIAMOND NI LAKWANGU.....NAN KASEMA SOMA ZAID
Mara
baada ya tetesi kusambaa sana mitaani na kwenye mitandao juu ya Diamond
kununua ndinga mpya mara baada ya kuonekana aki-post picha akiwa na
gari hilo bila neno lolote yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni
245 za Kitanzania hatimaye Chief Kiumbe amefunguka juu ya ndinga hilo.
Leo asubuhi kupitia interview na kituo flani mfanya biashara ‘Chief
Kiumbe’ alifunguka na kusema kwamba gari analomiliki msanii wa bongo
fleva ‘Diamond’ ni la kwake.
Huu ndio ujumbe wake Chief Kiumbe.
“Unajua
mimi huwa sio mtu wa kuzungumza sana ila ukweli ni kwamba wasanii wengi
wa hapa bongo wanatembelea magari yangu, na wala hawatoi hela yoyote,kwa
mfano Diamond anamiliki gari yangu mpya ambalo nilinunua zaidi ya
shilingi milioni 245 kipindi niko nje kiziara, nafanya hivi kwasababu ya
upendo na pia wapo wasanii wengi tu, kuna wengine wanajitamba kwamba
wamenunua ila sio kweli mimi ndio ninawapa bureee watembele hizo habari
za kwamba wananunua hakuna kitu kama hicho,mimi napenda watu wafuate
nyayo za Diamond naamini watafanikisha ndoto zao” – Kiumbe.
Friday, January 24, 2014
ROSE NDAUKA ASEMA MSANII TUNDAMAN ANATAFUTA KIKI KUPITIA JINA LAKE TIRIRIKA HAPA
MSANII wa filamu nchini Rose Ndauka ashangazwa na kauli ya msanii wa
muziki wa bongo Fleva Tunda Man ya kujitangazia kuwa alishawahi kuwa
naye katika mahusiano na kuwa ni mwanamke wa kwanza kuwa naye.Mshangao huo umeibuka mara baada ya TundaMan kueleza kuwa, alishawahi
kujihusisha kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii huyo mnamo mwaka
2006.
Tundaman alisema hayo kwenye mahojiano yaliyofanyika katika kipindi cha
XXL kinachorushwa na Clouds Fm, ambapo aliweka wazi kuwa alishawahi kuwa
na mahusiano na mwanadada huyo wakati wote wawili wakiwa bado
hawajapata majina kwenye fani zao.
Wednesday, January 22, 2014
HII MPYA KUTOKA KWA IZZO BUZNESS 'LOVE ME DANCE' INAKUHUSU SHABIKI WA KWELI
Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo, Izzo Business ambaye kwa sasa kazi yake inayokwenda kwa jina Love Me inafanya vizuri kwenye chati mbalimbali, katika hatua ya kujisogeza karibu na mashabiki wake na pia kuitangaza kazi hii zaidi, ameamua kuanzisha mpango unaokwenda kwa jina Love Me Dance.
Subscribe to:
Posts (Atom)