Hata hivyo 'My Number One hit maker ' hakutaja jina la Producer huyo na kuusindikiza ujumbe wake na hash tag #UlievujishaNikifa Kesho.
'Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala Kunidhuru chochote... Sanasana utanizidishia Umaarufu na kunipa Show zaidi... Kama nimeacha kurecord nyimbo Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine Mkali zaidi yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi....ila Kuvujisha Unajisumbua bure! #UlievujishaNikifaKesho! Ameandika Diamond.
Kama unakumbuka kabla haijatoka My Number One,C.E.O wa Wasafi classic, Diamond alikuwa anatease baadhi ya mistari ya mashairi yanayopatikana kwenye wimbo wake huo kupitia mitandao ya kijamii na fans wakawa tayari wameanza kuusubiri kwa hamu wimbo huo.
Ni producer gani? (....)
No comments:
Post a Comment