expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Monday, October 21, 2013

Chibow Mtoto wa Pwani ameshow love kwa funs wake kivipi.....soma zaidi



Ni Wasanii wachache sana wenye uwezo wa kuamka asubuhi kabla hajafanya chochote na kushow love kwa mashabiki wake asilimia kubwa baadhi ya wasanii uwa wanakuwa na nyodo kwa mashabiki wao ata ukikutanae barabarani ukimsaliamia uwa kidzayni flan lazima akupe pozi flani 

Lakini kwa msanii kama Chibow Mtoto wa Pwani imekuwa tofauti sana amekuwa karibu sana na Mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa  facebook Chibow Mtoto wa Pwani Leo Asubuhi ameandika"Kama umeamka poa kama mimi basi tuungane ktk kumshukuru allah kwa kusema..ALHAMDULILLAH..kwa pumzi nyngne.asubuh njema"

Tofauti Kupost hicho chabow hata ukimuenbox amekuwa akijibu huyu ni msanii wa kuigwa......keep it up bro

No comments:

Post a Comment