ONE SIX
Wengi wanamjua Kwa jina One Six laikini Jina lake la kwenye kadi ya clinic anajulika kama Victor Joseph ni msanii kutoka Dodoma anayefanya vizuri sana kwenye gemu mziki wa bongo flevar Akiwa anafuata nyayo za kaka yake Mez B Mwanachemba toka East Zuu hivyo One Six anatoka kwenye familia ya wenye Vipaji.
Ngoma yake kwanza kurekodi iliitwa hunitaki tena katika studio ya jams records producer akiwa Mogela baadae One Six alikutana na Producer Double Y katika Studio Long miles records iliyopo hapo hapo Dodoma nakufanya kazi nyingi sana ikiwemo ngoma inayokwenda kwa jina la Rudi nyumbani,karibu tena na Subira aliyomshirikisha Moo Abasi na Double Y na zingine kibao baada promo ya nguvu One Six alijizolea umaarufu nakuanza kupewa Collabo na baadh ya wasanii wenzake
2012 zilitokea miss undestand na Producer Double Y Aliyekuwa akifanya nae kazi katika Studio Long miles records alikaa kimya kwenye gemu kwa muda baadae aliaanza kufanya kazi na Studio tofauti tofauti za hapo Dodoma
2013 alipata Lebo katika Studio ya Choice Records iliyopo Barabara ya sita mjini Dodoma producer akiwa Jacko Beats ofcoz walifanya kazi nzuri kama vile Yalanda ngoma ambayo ilipata Air time ya kutosha sana kwenye media za Dodoma lakini pamoja na hilo Jacko beats na One Six ikatokea mvurugano kati yao
One Six alihama tena na kwenda studio moja inaitwa AJ Records iliyopo Area D Dodoma lakini huko nako hakuwa Lebo akiwa AJ Records alikutana Producer Seylas aliyekuwa amekwenda kufanya mixng ya msanii Kuko kutoka Dream Records Dar es Salaam nakufanaya Mazungumzo nae kuwa Dreams Recods wanataka kufungua tawi la studio hiyo hivyo Kutokana Kujulikana sana kwa One Six na Dreams walikuwa wanataka watu wenyewe uwezo mkubwa na wenye vipaji kwaajili ya Lebo hivyo One Six alikuwa mmoja wao mpaka sasa anafanya kazi na Dreams Records ambapo moja ya ngoma alizofanaya kwenye studio ya Dreams ni pamoja na wajua akiwa amemshirikisha Frenk Music wa N07 Ngoma ambayo inafanya poa sana kwenye media mbali mbali hapa bongo hivi karibu ataachia ngoma nyingine inaitwa beatifuli akiwa amemshikirisha Kuko moja kati ya kinadada ambao wanafanya Vizuri sana kidodoma.
No comments:
Post a Comment