expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Tuesday, October 8, 2013

HIZ NI TWEET ZA MASHABIKI WALIVYOPONDA UWEPO WA ALLY ZAHIR ZORRO KUWA KAMA JUDGE WA TUSKER PROJECT FAME


Mashabiki wengi wa shindano la 'Tusker Project Fame' linalofanyika nchini Kenya kila mwaka wameonekana kutofurahishwa na ujio wa jaji mpya wa shindano hilo anayefahamika kwa jina la 'Ally Zahir Zorro' ambaye ni Muimbaji mkongwe wa muziki nchini Tanzania aliyeungana na majaji wengine 'Ian Mbugua' wa Kenya na muimbaji 'Juliana Kanyomozi' wa Uganda kama majaji wa 'Tusker Project Fame' msimu huu wa 6.


Uwepo wa 'Ally Zahir Zorro' kwenye mshindano hilo la kuibua viapaji limekuja baada ya Mwanamuziki huyo mkongwe amechukua nafasi ya aliyekuwa jaji kwa misimu iliyopita anayefahamika kwa jina la 'Hermes Lyimo', ambapo hata hivyo uwepo wa mkongwe huyo wa muziki wa Tanzania haukuwavutia mashabiki wa shindano hilo kutokana na maneno waliyokuwa wakiyatoa kwenye mitandao ya kijamnii. Chini ni baadhi ya maneno ya mashabiki hao:


No comments:

Post a Comment