expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Monday, October 21, 2013

...Msanii mwenye uwezo mkubwa wa kuimba na Kuandika unataka kumjua kiundani bas....bofya

                                                                                                 Jaco Beats
Huyu ni mmoja kati ya Wasanii wenye uwezo na Mashabiki kibao Tanzania kwa sasa,pia Producer ndan ya Music Familly ya PEREMENDE music Empire, ila pia ndiye Mshindi wa SERENGET FIESTA SUPER NYOTA Dodoma, anatarajia kukwea Stage Moja na Wasanii kutoka Mbele kwa Mara ya kwanza huku akaifanya kinyanganyiro cha kuwa TANZANIA super Nyota,kama mdau wa mziki mzur sapot yako inahusika...haujapata kumjua fanya kuingia GOOGLE upate Ripot zake.
Moja ya single ambazo zimemfanya Jacko Beats mashabiki wake wamkubali ni pamoja  I say,Kilaza na nyingine nyingi tofauti na kuwa msanii pia producer mwaandishi mashairi mzuri sana amewahi kumwaandikia msanii mwenzake Wise One nyimbo inaitwa Mailaka.

No comments:

Post a Comment