expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Monday, October 21, 2013

Peter wa P Square kuuaga ukapera mda sio mrefu..


Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa na kujaliwa kupata watoto wawili,Peter Okoye na mama watoto wake Lola Omotayo wako tayari kwaajili ya kufunga pingu za maisha.


Harusi yao ya kimila itafanyika November 17 huko Arc Centre MC akiwa ni mchekeshaji na mtangazaji maarufu wa kipindi cha Jara Helen Paul.

Kama utakumbuka vizuri siku zilizopita Peter alitengeneza Headline katika mitandao baada ya ku-propose kwa mchumba wake huyo wa siku nyingi Lola katika style ya aina yake baada ya ku-suprise kwa zawadi ya gari la klifahari na kuwekwa pete ya uchumba.


Kila la kheri kwa Peter na Lola!

No comments:

Post a Comment