expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Wednesday, October 9, 2013

Diamond na Wema wazua maswali mjini!



Kupitia Istagram jana Daimond aliandika kuwa anatarajia kuonekana katika movie moja na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu itayoitwa TEMPTATION.

diamondplatnumz
Katika moja ya Muvie ambazo naimani itakuwa ni Gumzo, Mfano na Bora toka Tanzania basi ni hii... #TEMPTATIONS .... STAY TUNED!!!! SOON!....#DayOne #Location #SomeWhere
Baada ya Diamond kuandika haya na kutuma picha hii,picha nyingine zinazowaonyesha Wema na Diamond wakiwa kimahaba zilionekana katika mitandao na kuibua maswali mengi kuwa ni kweli kuna ujio wa movie au ujio mpya wa mapenzi wao!?

No comments:

Post a Comment