DJ RODGER
ABM RADIO
Tuesday, October 29, 2013
Baada Ya Miezi Michache Ndani Ya Ndoa Bob Junior Aachana Na Mke Wake, Fuatilia Hapa
Msanii Bob Junior amefunguka leo kupitia mtandao wa sammisago.com kuwa yuko single baada ya ndoa yake kuvunjika mwezi moja uliopita. Wasanii wengi huwa wanapata wakati mgumu wanapo funga ndo kwa sababu ya umaarufu na ratiba za maisha yao kabla ya kufunga ndoa.
Bob Junior leo mchana ametambulisha wimbo wake mpya na kutoa taarifa kwa mabinti wote kuwa kwa sasa Bob Junior ni single boy kumanisha kuwa ameachana na mke wake mwezi moja uliopita. Kuogopa kuweka mambo ya familia waze Bob Junior hajasema haswa Sababu ya kuachana na mke wake ila ameniambia kilicho changia ndoa yake kuvunjika ni Wivu wa mke wake.
Bob junior ameniambia kuwa wivu ni moja ya sababu zilizofanya ndoa yake kuvunjika na kwamba alikuwa na wakati mgumu sana kumuonyesha mke wake kuwa yeye ni muaminifu kutokana na kuwa star na kupendwa na mashabiki wa Kike.
Fahamu kuwa ndoa ya Bob Junior Imedumu kwa Mwaka Moja Na miezi 2 tu.
Ladies Bob Junior Is Available. lol
source sammisago.com
Tuesday, October 22, 2013
Huyu ndio Mdogo wako Mez B anayefuata nyayo za kaka yake unataka kumjua kiundani basi bofya........
ONE SIX
Wengi wanamjua Kwa jina One Six laikini Jina lake la kwenye kadi ya clinic anajulika kama Victor Joseph ni msanii kutoka Dodoma anayefanya vizuri sana kwenye gemu mziki wa bongo flevar Akiwa anafuata nyayo za kaka yake Mez B Mwanachemba toka East Zuu hivyo One Six anatoka kwenye familia ya wenye Vipaji.
Ngoma yake kwanza kurekodi iliitwa hunitaki tena katika studio ya jams records producer akiwa Mogela baadae One Six alikutana na Producer Double Y katika Studio Long miles records iliyopo hapo hapo Dodoma nakufanya kazi nyingi sana ikiwemo ngoma inayokwenda kwa jina la Rudi nyumbani,karibu tena na Subira aliyomshirikisha Moo Abasi na Double Y na zingine kibao baada promo ya nguvu One Six alijizolea umaarufu nakuanza kupewa Collabo na baadh ya wasanii wenzake
2012 zilitokea miss undestand na Producer Double Y Aliyekuwa akifanya nae kazi katika Studio Long miles records alikaa kimya kwenye gemu kwa muda baadae aliaanza kufanya kazi na Studio tofauti tofauti za hapo Dodoma
2013 alipata Lebo katika Studio ya Choice Records iliyopo Barabara ya sita mjini Dodoma producer akiwa Jacko Beats ofcoz walifanya kazi nzuri kama vile Yalanda ngoma ambayo ilipata Air time ya kutosha sana kwenye media za Dodoma lakini pamoja na hilo Jacko beats na One Six ikatokea mvurugano kati yao
One Six alihama tena na kwenda studio moja inaitwa AJ Records iliyopo Area D Dodoma lakini huko nako hakuwa Lebo akiwa AJ Records alikutana Producer Seylas aliyekuwa amekwenda kufanya mixng ya msanii Kuko kutoka Dream Records Dar es Salaam nakufanaya Mazungumzo nae kuwa Dreams Recods wanataka kufungua tawi la studio hiyo hivyo Kutokana Kujulikana sana kwa One Six na Dreams walikuwa wanataka watu wenyewe uwezo mkubwa na wenye vipaji kwaajili ya Lebo hivyo One Six alikuwa mmoja wao mpaka sasa anafanya kazi na Dreams Records ambapo moja ya ngoma alizofanaya kwenye studio ya Dreams ni pamoja na wajua akiwa amemshirikisha Frenk Music wa N07 Ngoma ambayo inafanya poa sana kwenye media mbali mbali hapa bongo hivi karibu ataachia ngoma nyingine inaitwa beatifuli akiwa amemshikirisha Kuko moja kati ya kinadada ambao wanafanya Vizuri sana kidodoma.

Monday, October 21, 2013
Peter wa P Square kuuaga ukapera mda sio mrefu..
Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa na kujaliwa kupata watoto wawili,Peter Okoye na mama watoto wake Lola Omotayo wako tayari kwaajili ya kufunga pingu za maisha.
Harusi yao ya kimila itafanyika November 17 huko Arc Centre MC akiwa ni mchekeshaji na mtangazaji maarufu wa kipindi cha Jara Helen Paul.
Kama utakumbuka vizuri siku zilizopita Peter alitengeneza Headline katika mitandao baada ya ku-propose kwa mchumba wake huyo wa siku nyingi Lola katika style ya aina yake baada ya ku-suprise kwa zawadi ya gari la klifahari na kuwekwa pete ya uchumba.
Kila la kheri kwa Peter na Lola!

Usanii unalipa sana Ommy Dimpozi anunua bonge la Gari...ebu icheck
Ommy Dimpozi Akioosha Gari lake Jipya
Mark X Usafiri mpya kabisa wa msanii Ommy Dimpozi Ukiwa hauna ukiwa hauna hata namba za usajili akiwa unapigwa maji katika Jaffarai Car Wash Maenao ya Mikocheni jijini Dar..Kaisha sana Dimpoz kwa pozi
Chibow Mtoto wa Pwani ameshow love kwa funs wake kivipi.....soma zaidi
Lakini kwa msanii kama Chibow Mtoto wa Pwani imekuwa tofauti sana amekuwa karibu sana na Mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa facebook Chibow Mtoto wa Pwani Leo Asubuhi ameandika"Kama umeamka poa kama mimi basi tuungane ktk kumshukuru allah kwa kusema..ALHAMDULILLAH..kwa pumzi nyngne.asubuh njema"
Tofauti Kupost hicho chabow hata ukimuenbox amekuwa akijibu huyu ni msanii wa kuigwa......keep it up bro
...Msanii mwenye uwezo mkubwa wa kuimba na Kuandika unataka kumjua kiundani bas....bofya
Jaco Beats
Huyu ni mmoja kati ya Wasanii wenye uwezo na Mashabiki kibao Tanzania kwa sasa,pia Producer ndan ya Music Familly ya PEREMENDE music Empire, ila pia ndiye Mshindi wa SERENGET FIESTA SUPER NYOTA Dodoma, anatarajia kukwea Stage Moja na Wasanii kutoka Mbele kwa Mara ya kwanza huku akaifanya kinyanganyiro cha kuwa TANZANIA super Nyota,kama mdau wa mziki mzur sapot yako inahusika...haujapata kumjua fanya kuingia GOOGLE upate Ripot zake.
Moja ya single ambazo zimemfanya Jacko Beats mashabiki wake wamkubali ni pamoja I say,Kilaza na nyingine nyingi tofauti na kuwa msanii pia producer mwaandishi mashairi mzuri sana amewahi kumwaandikia msanii mwenzake Wise One nyimbo inaitwa Mailaka.
Saturday, October 19, 2013
NEY WA MITEGO ASEMA CHID BENZ BADO ANATUMIA MADAWA
CHID BENZ aka CHUMA |
Rapper Ney wa Mitego ambaye majuzi kati tu tulipoata taarifa za yeye kuingia katika knyang'anyiro kikali na wasanii kama msanii bora wa kiume toka Tanzania ambaye pia amekuwa masnii wa kwanza toka Bongo kukubali kuwa amewahi kujihusisha na madawa ya kulevya aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na kipindi cha DUNDO kinacho rushwa kupitia MJ FM iliyoko mkoa wa Arusha alipoulizwa kuwa anamzungumziaje msanii CHID BENZ yeye kama Rapper.
NEY WA MITEGO |
Ney alitoa maelezo ya kina kuhusu rapper CHID BENZ na kudai kiukweli awali alikuwa miongoni mwa mashabiki wa CHID lakini kutokana na uandamano wa matukio ya ugomvi ugomvi yaliyokuwa yakimuhusu CHID BENZ yalimpelekea kujitoa katika orodha ya wasanii wanaomkubali CHID na akasema inawezekana madawa ndio yalikuwa yakimsababishia hali kama ile.
Akizungumza alitilia mashaka kauli ya CHID ya kudai kuwa aliacha madawa ya kulevya kama alivyokwisha sema na kuselezea kuwa kama kweli CHID BENZ angekuwa ameacha madawa kama anavyosema basi sisi kama wadau tungeishaona mabadiliko katika system ya maisha yake na akatika hilo NEY alidai kuwa kuna uwezekano mkubwa CHID akawa anaendelea na matumizi ya madawa.
Friday, October 18, 2013
HAWA NDIO WANAMUZIKI 5 MATAJIRI TANZANIA .WATOKANAO NA MUZIKI WA BONGO FLEVA
1. DIAMOND
KWA
ZAIDI YA MIEZI MITATU TIMU NZIMA YA THECHOICE ILIWEZA KUFANYA UTAFITI
KWA KINA JUU YA KUFAHAMU WANAMUZIKI WA BONGO FLEVA WENYE MAFANIKIO ZAIDI
KUTOKANA NA MUZIKI HUO,TIMU YA THECHOICE IMEWEZA PATA WANAMUZIKI WATANO
WENYE MAFANIKIO ZAIDI KUTOKANA NA MUZIKI HUO.
NI MSANII ALIYE LETA MAPINDUZI MAKUBWA
KATIKA MUZIKI HASAHASA KATIKA SHOW ZA STEJINI YAANI LIVE PERFORMANCE .NI
MSANII ANAYE LIPWA PESA NYINGI KWA SASA TANZANIA KWA SHOW MOJA ANAYO
FANYA.PIA NI MSANII MWENYE SHOW NYINGI KWA MWEZI KULIKO WOTE,.HII
IMECHANGIA KUWEZA KUPATA PESA NYINGI KATIKA MDA MFUPI.ANAMILIKI NYUMBA
KADHAA,VIWANJA,MAGARI,MADUKA.
DIAMOND |
GARI ANAYO MILIKI YENYE THAMANI YA TSH.MIL 60 |
GARI ALIYO KUWA ANATEMBELEA MWANZO |
2.
LADY JAY DEE
NI MSANII MWENYE HESHIMA SANA
TANZANIA KUTOKANA NA KUJIHESHIMU KWAKE,KAPATA MAFANIKIO SANA KATIKA KAZI
ZAKE ZA MUZIKI NA KUWEZA KUWA MFANO WA KUIGWA KWA WASANII WENGINE.KWANI
UCHAPA KAZI WAKE NDO SABABU YA MAFANIKIO YAKE KIMAISHA.
MALI ANAZOMILIKI NI PAMOJA NA -GARI AINA YA MURANO THAMANI YA
TSH.MIL
45, BASI AINA YA COSTA TSH.MIL.30, PRADO, NYUMBA NZURI YA KISASA,PAMOJA
NA MGAHAWA WA NYUMBANI LONGE WENYE THAMANI YA ZAIDI YA TSH.MIL.150 PIA
ALIANZISHA MAJI YAKE YA JAY DEE AMBAYO BAADAYE YALIZUIWA.
NYUMBANI LONGE KWA NDANI |
|
MAJI YA JAY DEE |
NYUMBA YA KISASA ANAYOISHI |
BASI KWA AJILI YA BAND YAKE YA MACHOZI BAND |
3.AY
AY NI
MSANII MKIMNYA SANA NA HUWA HAWEKI MAMBO YAKE HADHARANI SANA HASAHASA
YA MAISHA YAKE.LAKINI NI MSANII MWENYE PESA NYINGI KUTOKANA NA KUFANYA
SHOW NYINGI ZA KIMATAIFA ZINAZO MPATIA PESA NYINGI.ANAMILIKI MAGARI,ANA
DUKA LA NGUA,PIA ANA NGUO ZAKE MAALUMU ZENYE NEMBO YA JINA LAKE.
4.PROF J
NGULI WA MUZIKI WA
BONGO FLEVA TANZANIA,ANAFANYA SHOW NYINGI ZA NJE,NI MSANII AALIYE DUMU
KWA MDA MREFU,ANAMILIKI NYUMBA YA KISASA YA ZAIDI YA TSH.MIL 100,
ANAMILIKI GARI,MASHAMBA
PROF.J |
NYUMBA YA PROF J |
MBELE YA NYUMBA |
Profesa ameshindwa kusema amewekeza kiasi gani cha fedha kwenye studio hio ila fahamu kuwa vifaa vilinunuliwa kwa wakati tofauti na ni vifaa vya hali ya juu sana.
AINA YA GARI ANAYO TEMBELEA |
KWA NDANI |
KWA NJE |
Profesa Jay akinionyesha jina la Saloon yake iliyoko Msasani mbele karibu
ni mitaa ilipokuwa Irish Pub
5.JUMA NATURE
MSANII
WA SIKU NYINGI KATIKA GEMU,KWA JINA JINGINE NI MKONGWE KATIKA MUZIKI WA
TANZANIA HUU WA KIZAZI KIPYA,ANAMILIKI GARI,MASHAMBA,PIA NI MFANYA
BIASHARA ,ANAMILIKI NYUMBA,TUNASHUKURU KWA TIMU NZIMA YA THECHOICE KWA
KUFANYA UTAFITI HUU.TUTAENDELEA KUWALETEA VITU VIZURI ZAIDI KILA SIKU NA
ENDELEA KUWA NASI.
source by Millad ayo
KANYE WEST AACHA KILA KITU NA KUKIMBILIA NYUMBANI BAADA YA KIM KUPOST PICHA HII MTANDAONI
Kanye ameandika “Naenda nyumbani sasa
hivi!” kwenye hiyo tweet baada ya kuiona picha. Binafsi simlaumu… Hata
mimi ningechukua break kazini nikimbilienyumbani…Kha!!!
Thursday, October 10, 2013
Ngoma ya Mpya Rihanna - Pour It Up (Explicit)
Kama tunakumbuka vizuri mwaka 2010 Puff Daddy alishawahi kusema kuwa analaumu maisha yake ya utotoni hakupata malezi ya Baba ndio maana mpaka sasa hana mpango wa kuwa na mke sababu anaogopa kuwa kama Baba yake,hivi karibuni kaongea mapya kuhusu ndoa.
Rapper Na mfanya biashara mkubwa Marekani Puff Daddy maarufu sasa kama Pdd amesema hana mpango wa kufunga ndoa siku za karibuni kwani anaamini kuwa watu wengi hutumia muda mwingi kuboresha ndoa badala ya kuwa na maisha yenye furaha na mtu anaye mpenda.
Pdd anaendela kusema kuwa mpaka sasa hajapata sababu za kuwa na mke ila anapenda sana watoto wake na familia yake na Bado Yupo yupo.
Fahamu kuwa Puff Daddy kwa sasa ana mahusiano ya muda mrefu na msanii wa Rnb Cassie ambaye yupo chini ya lebel yake Ya Bad Boys Entertainment
Wednesday, October 9, 2013
TAZAMA PICHA ZA OMMY DIMPOZ ALIVYOANDALIWA DINNER YA KUFA MTU NA MWANADADA HUKO MAREKANI..!!
SALOME NA MGENI WAKE OMMY DIMPOZ KATIKA POZ
Baadhi ya Waalikwa akiwemo Promoter "DMK" katika Picha wakati wa chakula
nyumbani kwa Salome Frederick Maryland.Salome alimwalika Dimpoz Pamoja
na Baadhi ya Marafiki zake katika Chakula cha jioni kilicho andaliwa
nyumbani kwake.Mbali na chakula Pia watu waliburudika na Vinywaji laini
laini hadi majogoo.
SALOME KATIKA POZ LA KUSIMAMA na MR POZ KWA POZ
QUIZELA AKIWA KATIKA POZ NA OMMY DIMPOZ
Habari za Kuaminika nikuwa Dinpoz anapenda sana Watoto ebu angalia akiwafundisha mapoz
Dimpoz katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya Wageni Waalikwa wa Dinner hiyo Nyumbani Kwa Salome
Dimpoz the Uncle katika Poz na Model wa Salome "Nyambona"
Diamond na Wema wazua maswali mjini!
diamondplatnumz
Katika moja ya Muvie ambazo naimani itakuwa ni Gumzo, Mfano na Bora toka Tanzania basi ni hii... #TEMPTATIONS .... STAY TUNED!!!! SOON!....#DayOne #Location #SomeWhere
|
Tuesday, October 8, 2013
JAY Z AND BEYONCE NAMED NO.1 POWER COUPLE IN AMERICA
Helping them nab the top honor was Jay Z’s new album, Magna Carter Holy Grail, which went double platinum and Beyonce’s Super Bowl halftime performance, plus selling out her world tour and releasing a documentary about her life on HBO.
See Vanity Fair’s top 25 New Establishment ranking for 2013 after the cut…
1. Jay Z & Beyonce, musicians
2. Michael Bloomberg, New York City mayor
3. Brian Roberts & Steve Burke, Comcast
4. Bob Iger, The Walt Disney Company
5. Rupert Murdoch, 21st Century Fox
6. Jimmy Iovine & Dr Dre, Beats Electronics
7. David Zaslav, Discovery Communications
8. Jill Abramson, editor of The New York Times
9. Jenna Lyons, J. Crew creative director
10. Harvey & Bob Weinstein, The Weinstein Company
11. Jon Stewart & Stephen Colbert, Comedy Central
12. Robert Thomson, News Corp
13. JJ Abrams, Filmmaker
14. Lionel Barber, Financial Times
15. Matt Drudge, Drudge Report
16. Michael Kors, Michael Kors Holdings
17. Len Blavatnik, Access Industries
18. Laurene Powell Jobs, Emerson Collective
19. Tory Burch, designer
20. Jon Feltheimer, Lionsgate
21. Peter Chernin, The Chernin Group
22. Trey Parker & Matt Stone, Important Studios
23. Mike Allen, Politico
24. Ben Affleck, actor and director
25. Tim Armstrong & Ariana Huffington, AOL
Subscribe to:
Posts (Atom)