expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Monday, March 31, 2014

Mapenzi yao sasa Hivi ni kama Kaka na Dada

Mwana Muziki Lady Jey D na Mumewe ambaye ni Mtangazaji wa Radio Times fm Gadna G Habash sasa wanaishi kama Kaka na Dada. Mwana muziki huyo wa kizazi kipya amesema kuwa mapenzi iliyopo kati yao ni zaidi ya mapenzi ya kawaida. Vitu vingi wanatumia pamoja ikiwemo simu,gari nk ndio maana akasema mapenzi yao sasa ni kama kaka na dada wa mama 1 baba mmoja kwa jinsi wanavyopendana.

No comments:

Post a Comment