expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Wednesday, March 19, 2014

SHILOLE AZIDI KUKOMAA NA JIJI, AJA NA “CHUNA BUZI CAFÉ” MGAHAWA MPYA KABISA

DSC_0196‘Chuna buzi cafe’ ni moja kati ya jina la mgahawa wa msanii kutoka hapa bongo, wa kuitwa Shilole Mohamed a.k.a Shishi baby ambaye anakomaa na jiji ambapo anatarajia kufungua mgahawa wake wa chakula maeneo ya nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Shilole akizungumza na Kituo kimoja cha Radio nchini ameelezea kuwa ana taaluma ya Hotel Management na pia mama yake alishawahi kuwa ‘mama ntilie’ kipindi cha nyuma na pia Shilole ameshawahi kufanya kazi Peacock Hotel, Florida, na kwa sasa kila kitu kinaenda sawa ni yeye tu mwenyewe wakati wowote anaweza akafungua.

No comments:

Post a Comment