expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Friday, March 14, 2014

WAPIGIE KURA WASANII WA KUNDI LA WAKUBWA WA JIJI ILI KUPATA TUZO KATIKA KILIMANJARO MUSIC AWARD MWAKA HUU.


                   WAKUBWA WA JIJI NI KUNDI LA MUZIKI LILILOPO KATIKA JIJI LA MWANZA WAMEINGIA KUSHINDANIA TUZO YA KUNDI BORA JIPUKIZI.HIVYO BASI TUNAOWAOMBENI WAKAZI WA MWANZA NA MIKOA YOTE YA TANZANIA KUWAPIGIA KURA WASANII WETU WANAOLIWAKILISHA JIJI LA MWANZA KUWAPIGIA KURA NYINGI ILI TUZO HII IJE MWANZA KWA WASANII CHIPUKIZI.ILI KUPIGA KURA, ANDIKA     12  RUKA NAFASI ANDIKA ZIPATE  RUKA NAFASI ANDIKA TUKUJUE   WAKUBWA WA JIJI KISHA TUMA KWENDA NAMBA 15440 UTAKUWA UMEWAWEZESHA KUJINYAKULIA TUZO YA KUNDI BORA CHIPUKIZI TUNAWAOMBENI SANA KUWAPIGIA KURA NA KURA NI MARA MOJA KWA LINE MOJA KAMA UNA LINE ZAIDI YA MOJA UNAWEZA KUPIGA KURA MOJA KILA LINE. KURA YAKO NDIO USHINDI WA WAKUBWA WA JIJI.

No comments:

Post a Comment