Raph Tz Katika pozi
Msanii wa Kizazi kipya aka Bongo Flevar Raphael Lihamwike aka Raph Tz toka pande za Dodoma amesema ana ndoto za kumiliki studio yake mwenye baada ya kupata changamoto mbali mbali tangu aanze kujihusha na mambo mziki.
Akizungumza na djrodger255.blogspot.com Amesema kitu ambacho kilimshawishi kuwa na mawazo ya kimiliki studio yake mwenye ni kutokana na Kuna baadhi ya ma-producer kuwa na tabia ya kuwanazungusha sana wasanii kutoa kazi hadi ukipangilia mipango inafel kwa ucheleweshaji wao.
Raph amendelea kusema pia Kuna wasanii wenzake hawana uwezo wa kwenda studio na kurekodi kwa gharama zilivyo juu,
“naona ni heri niwe na studio, nisupport baadhi yao
djrodger255 ilipotaka kujua Raph anampango gani kwaajili ya kuwasidia wasanii ambao hawana kabisa uwezo kulipia situdio kama msanii pia ambaye alishakutana na vitu kama ivo
Raph amesema watarekodi kwa bei ndogo na kuhakikisha kazi zao zinaisha kwa wakati
…………………………Keep it up Brooo
No comments:
Post a Comment