DJ RODGER
ABM RADIO
Monday, March 31, 2014
Mapenzi yao sasa Hivi ni kama Kaka na Dada
Mwana Muziki Lady Jey D na Mumewe ambaye ni Mtangazaji wa Radio Times fm
Gadna G Habash sasa wanaishi kama Kaka na Dada.
Mwana muziki huyo wa kizazi kipya amesema kuwa mapenzi iliyopo kati yao
ni zaidi ya mapenzi ya kawaida.
Vitu vingi wanatumia pamoja ikiwemo simu,gari nk ndio maana akasema
mapenzi yao sasa ni kama kaka na dada wa mama 1 baba mmoja kwa jinsi
wanavyopendana.
MAJAMBAZI WAVAMIA DUKA NA KUUWA
DUKA
la kuuza Rasta za wakina Dada (Urembo) limevamiwa na watu waliosadikika
kuwa majambazi, Ni mda mchache uliopita kutoka sasa tangu tukio hilo li
jiri maeneo ya Kariakoo jijini Dar Es Salaam,
jiri maeneo ya Kariakoo jijini Dar Es Salaam,
Kwa
mujibu wa chanzo chetu cha habari ni kwamba majambazi waliojaribu
kufanya jaribio hilo baadhi yao wameuwawa na baadhi, Idadi kamili
endelea kufatilia hapa maana waandishi pamoja na wadau bado wapo katika eneo la tukio kufatilia kwa kina
Tuesday, March 25, 2014
Majina ya Wasanii watakaowania Tuzo za KTMA mwaka 2014
Majina ya washiriki wa Tuzo za Kili (KTMA)
Wimbo Bora wa mwaka
Number One – Diamond
Joto Hasira – Jaydee
I love u – Cassim
Yahaya – Lady Jaydee
Kidela – Abdul Kiba
Muziki Gani – Nay wa Mitego
Wimbo bora wa Kiswahili – Band
Ushamba Mzigo – Mashujaa
Shamba la Bibi – Victoria sound
Chuki nini – FM Academia
Yarabi nafsi – Mapacha 3
Kiapo – Talent Band
Joto Hasira – Jaydee
I love u – Cassim
Yahaya – Lady Jaydee
Kidela – Abdul Kiba
Muziki Gani – Nay wa Mitego
Wimbo bora wa Kiswahili – Band
Ushamba Mzigo – Mashujaa
Shamba la Bibi – Victoria sound
Chuki nini – FM Academia
Yarabi nafsi – Mapacha 3
Kiapo – Talent Band
Wimbo Afro Pop
Number One – Diamond
Joto Hasira – Lady Jaydee
Kidela – Abdul Kiba
I love u – Cassim
Tupogo – Ommy Dimpoz
Roho Yangu – Mavoko
Number One – Diamond
Joto Hasira – Lady Jaydee
Kidela – Abdul Kiba
I love u – Cassim
Tupogo – Ommy Dimpoz
Roho Yangu – Mavoko
Wimbo bora wa Hip Hop
Bei ya Mkaa – Weusi
Nje ya Box – Nick wa Pili & Joh Makini
Siri ya Mchezo – Fid Q
2030 – ROMA
Pesa – Mr Blue
Bei ya Mkaa – Weusi
Nje ya Box – Nick wa Pili & Joh Makini
Siri ya Mchezo – Fid Q
2030 – ROMA
Pesa – Mr Blue
Wimbo bora wa R&B
Listen – Belle 9
Closer – Vanessa Mdee
So Crazy – Maua Samma
Kama Huwezi – Rama Dee
Wa Ubani – Ben Pol
Listen – Belle 9
Closer – Vanessa Mdee
So Crazy – Maua Samma
Kama Huwezi – Rama Dee
Wa Ubani – Ben Pol
Wimbo bora wa kushirikisha/kushirikiana
Muziki Gani – Nay wa Mitego f/ Diamond
Joto Hasira – Lady Jaydee f/ Profesa Jay
Kidela – Abdul Kiba f/ Ali Kiba
Bila Kukunja Goti – Mwana FA & AY f/ J-Martins
Tupogo – Ommy Dimpoz f/ J-Martins
Muziki Gani – Nay wa Mitego f/ Diamond
Joto Hasira – Lady Jaydee f/ Profesa Jay
Kidela – Abdul Kiba f/ Ali Kiba
Bila Kukunja Goti – Mwana FA & AY f/ J-Martins
Tupogo – Ommy Dimpoz f/ J-Martins
Wimbo bora wa Zouk Rhumba
Yahaya – Lady Jaydee
Yamoto – Mkubwa na Wanawe
Msaliti – Christian Bella
Nakuhitaji – Malaika Band
Narudi Kazini – Beka
Yahaya – Lady Jaydee
Yamoto – Mkubwa na Wanawe
Msaliti – Christian Bella
Nakuhitaji – Malaika Band
Narudi Kazini – Beka
Mwimbaji Bora wa Kike – Kizazi Kipya
Vanessa Mdee
Lady Jaydee
Linah
Maua Sama
Vanessa Mdee
Lady Jaydee
Linah
Maua Sama
Mwimbaji Bora wa Kiume Kizazi Kipya
Ben Pol
Rich Mavoko
Diamond Platnumz
Ommy Dimpoz
Cassim Mganga
Ben Pol
Rich Mavoko
Diamond Platnumz
Ommy Dimpoz
Cassim Mganga
Msanii Bora Hip Hop
Fid Q
Stamina
Young Killer
Nick wa Pili
G-Nako
Msanii Bora Chipukizi
Young Killer
Walter Chilambo
Y Tony
Snura
Meninah
Fid Q
Stamina
Young Killer
Nick wa Pili
G-Nako
Msanii Bora Chipukizi
Young Killer
Walter Chilambo
Y Tony
Snura
Meninah
Mtayarishaji Bora – Kizazi Kipya
Marco Chali
Man Water
Mazoo
Sheddy Clever
Nahreel
Man Water
Mazoo
Sheddy Clever
Nahreel
Mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi Kipya
Belle 9
Ben Pol
Diamond
Rama Dee
Rich Mavoko
Belle 9
Ben Pol
Diamond
Rama Dee
Rich Mavoko
Mtunzi Bora Hip Hop
Nikki wa Pili
Young Killer
ROMA
Fid Q
G-Nako
Nikki wa Pili
Young Killer
ROMA
Fid Q
G-Nako
Mtumbuizaji Bora wa Kiume Kizazi Kipya
Diamond
Christian Bella
Rich Mavoko
Ommy Dimpoz
Abdul Kiba
Diamond
Christian Bella
Rich Mavoko
Ommy Dimpoz
Abdul Kiba
Video Bora ya Mwaka
Number One – Diamond
Yahaya – Lady Jaydee
Joto Hasira – Lady Jaydee
Uswazi Takeaway – Chege
Mama yeyo – GNako
Number One – Diamond
Yahaya – Lady Jaydee
Joto Hasira – Lady Jaydee
Uswazi Takeaway – Chege
Mama yeyo – GNako
Mtunzi Bora wa Mwaka Band
Christian Bella
Jose Mara
Chaz Baba
Nyosh El Saadat
Kalala Junior
Christian Bella
Jose Mara
Chaz Baba
Nyosh El Saadat
Kalala Junior
Bendi ya Mwaka
FM Academia
Mapacha Watatu
Twanga Pepeta
Akudo Impact
Malaika Band
Mashujaa Band
FM Academia
Mapacha Watatu
Twanga Pepeta
Akudo Impact
Malaika Band
Mashujaa Band
Kikundi Cha Mwaka – Kizazi Kipya
Makomandoo
Navy Kenzo
Weusi
Mkubwa na Wanawe
Makomandoo
Navy Kenzo
Weusi
Mkubwa na Wanawe
Kikundi cha Mwaka – Taarab
Jahazi Modern Taarab
Mashauzi Classic
Five Stars
Jahazi Modern Taarab
Mashauzi Classic
Five Stars
Mwimbaji Bora wa Kike – Taaarab
Khadija Kopa
Isha Ramadhani
Khadija Yusuph
Mwanahawa Ali
Leyla Rashid
Khadija Kopa
Isha Ramadhani
Khadija Yusuph
Mwanahawa Ali
Leyla Rashid
Mwimbaji Bora Kiume – Taarab
Mzee Yusuf
Hashimu Saidi
Mohamed Ali aka Mtoto Pori
Mzee Yusuf
Hashimu Saidi
Mohamed Ali aka Mtoto Pori
Mwimbaji Bora Kiume – Bendi
Jose Mara
Kalala Junior
Charz Baba
Khalid Chokoraa
Christian Bella
Jose Mara
Kalala Junior
Charz Baba
Khalid Chokoraa
Christian Bella
Mtunzi Bora Taarab
Mzee Yusuf
El-Ahad Omary
El-Khatib Rajab
Kapten Temba
Sadiki Abdul
Nassoro Seif
Mzee Yusuf
El-Ahad Omary
El-Khatib Rajab
Kapten Temba
Sadiki Abdul
Nassoro Seif
Rapper bora wa mwaka – Bendi
Kitokololo
Chokoraa
Ferguson
Canal Top
Totoo Ze Bingwa
Kitokololo
Chokoraa
Ferguson
Canal Top
Totoo Ze Bingwa
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Taarab
Enrico
Abuu Mwana ZNZ
Bakunde
Enrico
Abuu Mwana ZNZ
Bakunde
Mwimbaji Bora wa Kike – Bendi
Luiza Mbutu
Catherine Cindy
Ciana
Luiza Mbutu
Catherine Cindy
Ciana
Wimbo bora wa reggae
Niwe Nawe – Dabo
Hakuna Matata – Lonka
Tell Me – DJ Aron f/ Fidempha
Bado Nahitaji – Chikaka f/ Bless P & Lazzy
Bongo Reggae -Warriors from the East
Niwe Nawe – Dabo
Hakuna Matata – Lonka
Tell Me – DJ Aron f/ Fidempha
Bado Nahitaji – Chikaka f/ Bless P & Lazzy
Bongo Reggae -Warriors from the East
Wimbo bora wa Ragga/Dancehall
Nishai – Chibwa f/ Nuru
Sexy Girl – Dr Jahson
My Sweet – Jetman
Feel Alright – Lucky Stone
Wine – Princess Delyla
Nishai – Chibwa f/ Nuru
Sexy Girl – Dr Jahson
My Sweet – Jetman
Feel Alright – Lucky Stone
Wine – Princess Delyla
Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Tubonge – Jose Chameleone
Nakupenda Pia – Wyre f/ Alaine
Badilisha – Jose Chameleone
Kipepeo – Jaguar
Kiboko Changu f/ Radio and Weasel
Tubonge – Jose Chameleone
Nakupenda Pia – Wyre f/ Alaine
Badilisha – Jose Chameleone
Kipepeo – Jaguar
Kiboko Changu f/ Radio and Weasel
Monday, March 24, 2014
Friday, March 21, 2014
HUYU NDIYE MWANAFUNZI WA UDOM ALIYEJIRUSHA TOKA GHOROFA YA NNE HADI YA PILI KISA...... SOMA HAPA
Wednesday, March 19, 2014
BONGO PAGE YA ABM RADIO 91.2 ILIVAMIWA NA WAGENI JUMAMOSI HII CHECK ILIVYOKUWA NDANI YA STUDIO
Mmiliki wa BLOG ya THE CAPITAL TZ BLOG Msofe James |
Producer: DOUBLE Y akielezea wimbo wake mpya alioutambulisha kwa mara ya kwanza kwenye BONGO PAGE ya ABM RADIO 91.2 |
SHILOLE AZIDI KUKOMAA NA JIJI, AJA NA “CHUNA BUZI CAFÉ” MGAHAWA MPYA KABISA
‘Chuna buzi cafe’
ni moja kati ya jina la mgahawa wa msanii kutoka hapa bongo, wa kuitwa
Shilole Mohamed a.k.a Shishi baby ambaye anakomaa na jiji ambapo
anatarajia kufungua mgahawa wake wa chakula maeneo ya nyumbani kwao
Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Shilole akizungumza na Kituo kimoja cha Radio nchini ameelezea kuwa ana taaluma ya Hotel Management na pia mama yake alishawahi kuwa ‘mama ntilie’ kipindi cha nyuma na pia Shilole ameshawahi kufanya kazi Peacock Hotel, Florida, na kwa sasa kila kitu kinaenda sawa ni yeye tu mwenyewe wakati wowote anaweza akafungua.

Friday, March 14, 2014
WAPIGIE KURA WASANII WA KUNDI LA WAKUBWA WA JIJI ILI KUPATA TUZO KATIKA KILIMANJARO MUSIC AWARD MWAKA HUU.
BAADA YA KUFANYA KAZI REDIO KWA MDA MREFU SASA MTANGAZAJI KIZE KOZ AJA NA KIPINDI KIPYA KINAITWA GUD GUDAA NA HUU NI MWANZO 2 UNATAKA KUJUA KITAONEKA WAPI STAY TUNE APA YUPO NA MB DOG
huyu ni mmoja kati wa Watangazaji Maarufu Pande za Dodoma aliyekuwa anafaya poa na Sagment yake Ndilivyo ilivyo aise kupitia Abm Redio ya Dodoma na ni moja kati ya wabunifu wazuri sana wavipindi vya burudani
Kize amesema Sasa basi huu ni ujio wake mwingine kwenye luninga anakuja na bonge la kipindi(Tv show)kipya kitaitwa GUD GUDAA Kitadil na wasanii wa bongo flevar,bongo moviez,na watu wote wanaodil na mambo ya burudani ni bonge la kipindi
Na huu ni mwanzo tu angali apo chini akipiga story na Mb Dog Msanii wa zamani kidogo akizumgumzia ujio wake
Wednesday, March 12, 2014
HAYA NDIO YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO MKUU WA SIKU MBILI WA BARAZA LA WATOTO LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MKOANI MOROGORO.
Mheshimiwa Dk. Pindi Chana Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akihutubia Wajumbe wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wengine ni Nuru Milao Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (wa kwanza kulia), Ummy Jamaly Mwenyekiti wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (wa pili kulia) na Charles Elisante Katibu wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ummy Jamaly Mwenyekiti wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
akihutubia Wajumbe wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania katika Mkutano Mkuu wa siku mbili wa Baraza la Watoto la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mkoani Morogoro.
Wajumbe wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dk. Pindi Chana Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (wa tatu kushoto
waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wengine ni Nuru Milao Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (wa pili kulia), Tukae Njiku Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Watoto Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Jamaly Mwenyekiti wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (wa tatu kulia), Sandra Bisin Mkuu wa Mawasiliano na Ushirikiano kutokt UNICEF na Charles Elisante Katibu wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
HUYU NDIO MSANII MWENYE NDOTO YA KUMILIKI STUDIO YAKE MWENYEWE
Raph Tz Katika pozi
Msanii wa Kizazi kipya aka Bongo Flevar Raphael Lihamwike aka Raph Tz toka pande za Dodoma amesema ana ndoto za kumiliki studio yake mwenye baada ya kupata changamoto mbali mbali tangu aanze kujihusha na mambo mziki.
Akizungumza na djrodger255.blogspot.com Amesema kitu ambacho kilimshawishi kuwa na mawazo ya kimiliki studio yake mwenye ni kutokana na Kuna baadhi ya ma-producer kuwa na tabia ya kuwanazungusha sana wasanii kutoa kazi hadi ukipangilia mipango inafel kwa ucheleweshaji wao.
Raph amendelea kusema pia Kuna wasanii wenzake hawana uwezo wa kwenda studio na kurekodi kwa gharama zilivyo juu, “naona ni heri niwe na studio, nisupport baadhi yao
djrodger255 ilipotaka kujua Raph anampango gani kwaajili ya kuwasidia wasanii ambao hawana kabisa uwezo kulipia situdio kama msanii pia ambaye alishakutana na vitu kama ivo Raph amesema watarekodi kwa bei ndogo na kuhakikisha kazi zao zinaisha kwa wakati …………………………Keep it up Brooo

OMMY DIMPOZ AFANYA VIDEO NA SUPER MODEL SOFIA SK WA JIJINI LONDON.
Mwanamuziki Mahiri kutoka Tanzania ambaye alikuwa London akishoot Video ya wimbo wake mpya, amesema kuwa anayofuraha kuweza kufanya kazi na Supermodel anayetikisa jiji la London. Hivi sasa Ommy ameshatua nyumbani na tunasubiria kuipokea kazi yake...
Monday, March 10, 2014
PICHAZ..KUFURU KUBWA YA BONGO MOVIE AMBAYO INASHIKA REKODI MPAKA SASA...ILIKUWA NI FULL AIBU AISEEE....!!
ILITOKEA NA SIDHANI KAMA ITAKUJA TOKEA TENA KAMA HII, MAYBE BAADAE SANA..SHUKA NAYO HAPA CHINI
Ziara ya mastaa wa filamu Dodoma ni kufuru, fedha ilitumika, wasanii wajiachia kimapenzi wao kwa wao, wengine nusu wazipige.The Biggest IQ, Ijumaa Wikienda lina ‘full nondoz’ hatua kwa hatua ndani ya Dom kama ifuatavyo.
FULL KUJIACHIA
Baada ya mechi na wabunge iliyochukua nafasi kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dom, wasanii walijigawa makundi mawili.
Kundi A ambalo lilitinga mjengoni na magari ya kifahari lilibaki na kugeuka Dar asubuhi ya Jumatatu (Juni 20), wakati Kundi B, walinyanyuka himahima Jumapili (Juni 19) saa 6:00 mchana.
Kundi B lilikuwa na wanaume wengi zaidi, wao waliambiwa wawahi Dar kwa sababu basi dogo walilokuwa wanalitumia lilikuwa linahitajika jijini.
Baada ya Kundi A kuondoka, Kundi A walijiachia ‘kinoma noma’ kwenye bwawa la kuogolea la Hoteli ya African Dream ambayo walifikia.
Katika bwawa hilo, mastaa ‘walishoo lavu’ kwa kuoga pamoja na kufurahi kwa michezo mbalimbali.
Wale waliokuwa hawataki kuingia majini, walisukumwa bwawani na nguo zao.
Mtiti uliibuka pale mchekeshaji Steven Mangere ‘Steve Nyerere’ alipomvaa Aunt Ezekiel ‘Gwantwa’ na kutaka kumtupia majini.
Vincent Kigosi ‘Ray’ naye aliongezeka kumsaidia Steve lakini baadaye timbwili hilo lilimalizwa na Mwenyekiti wa Klabu, Hartmann Mbilinyi aliyewatawanya.
TIMBWILI LA POSHO
Wasanii wote walipanga kuondoka Dom Jumatatu ya Juni 20 lakini tangazo kuwa basi dogo ni lazima liondoke Jumapili, liliwanyong’onyesha wengi, kwa hiyo ulianza mvutano wa nani atangulie, nani abaki.

Baada ya viongozi kubainisha wanaopaswa kutangulia na wengine wabaki,
wale walioambiwa waondoke siku hiyo na basi, baadhi yao walianzisha
timbwili la kudai posho.
Madai ya posho yalichochea hasira kwa viongozi na kusababisha Kiongozi wa Nidhamu, Issa Musa ‘Cloud’ kutaka kuzipiga na Soud Ally lakini Katibu, Salum Mchoma ‘Chiki’ alitumia busara kuwatuliza.
Madai ya posho yalichochea hasira kwa viongozi na kusababisha Kiongozi wa Nidhamu, Issa Musa ‘Cloud’ kutaka kuzipiga na Soud Ally lakini Katibu, Salum Mchoma ‘Chiki’ alitumia busara kuwatuliza.
WAHESHIMIWA MACHO JUU
Kwa muda ambao wasanii hao walikuwa Dom, baadhi ya wabunge walikosa utulivu, wakipigana vikumbo jinsi ya kunasa mapenzi.
Baadhi ya wasanii walikamatika kutokana na uhuru uliokuwepo, kwani hakukuwa na kizuizi cha mtu kutoka na kwenda kupiga misele anapopataka.
NANI ANASEMA WASANII WA KIKE WANAUZWA?
Uchunguzi umeonesha kuwa baadhi ya wasanii wanajiuza wenyewe na wakati mwingine hutangaza ‘teni pasenti’ kwa mtu anayewasaidia kuwaweka kwa wafanyabiashara au wanasiasa wenye fedha.
Mbunge mmoja aliliambia gazeti hili kuwa alipigiwa simu na mrembo mmoja wa Klabu ya Bongo Movie akaomba kuwa naye karibu.
“Ni kama shule, kuna watu wazuri lakini wengine wabaya sana. Kuna mtoto nilikuwa namheshimu lakini alinipigia simu ananitongoza. Amenikera kweli, nilitaka kusaidia klabu yao lakini nimevunjika moyo kusaidia watu wa aina hiyo,” alisema mbunge huyo anayotokea moja ya majimbo ya Mkoa wa Morogoro.

JACK WOLPER BALAA
Jacqueline Wolper alitisha, kwani alitinga Dom akiwa na gari matata aina ya Toyota Land Cruiser V8, namba T 798 AXY na ndiye alikuwa ‘bei mbaya’ kuliko wenzake, kwani hata kambini alikuwa hakai.
SIKU MBILI WEMA HAONEKANI
Ijumaa (Juni 17) usiku, Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ walitinga Dom na kudondosha ‘shoo’ kwenye Ukumbi wa Kilimani, kwa hiyo wasanii wote waliingia kuona mambo wazee wa mjini.
Baadhi ya wasanii hao, walipotezana na Wema Sepetu kuanzia muda huo, siku iliyofuata ambayo ndiyo mechi ilifanyika Uwanja wa Jamhuri hakuonekana mpaka Jumapili.
Gazeti hili lilimnasa msanii Zuwena Yusuf ‘Shilole’ akimhoji Wema: “Ulikuwa wapi? Siku mbili hatujakuona.”
Wema alijibu kwa kifupi kuwa hakuwepo lakini mwandishi wetu alipomhoji ni kwa nini hakuonekana siku ya mechi na wabunge ambayo ndiyo iliyowapeleka Dom alijibu: “Nilikuwa naumwa mafua.”
Mwandishi: Hayo mafua ni jana tu, mbona leo mzima?
Wema: Aah bwana yaache hayo.
RATIBA YAO
Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla alikata zaidi ya shilingi 2,500,000 kulipia malazi ya wasanii hao kwenye hoteli hiyo.
Kila siku mchana, wasanii hao walikuwa wanakwenda kula nyumbani kwa Makalla mjini humo.Siku ya mechi, baada ya Bongo Movie kupokea kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Bunge Soka na 17-7 dhidi ya Bunge Netiboli, walialikwa nyumbani kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambako walikula chakula cha usiku pamoja na kuzungumza mpaka usiku mkubwa ambapo walirejea hotelini.

Source http://jocyberspace.blogspot.com
Subscribe to:
Posts (Atom)