expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Thursday, November 28, 2013

Wimbo wa STAMINA ft. CRISS WAMARYA “Mngekuwepo” umetolewa kimakosa bila ruhusa ya Stamina



STAMINA
Wimbo wa Stamina Ft Criss Wamarya unaoitwa Mngekuwepo umetoka kimakosa, jana wimbo huu uliwekwa hapa katika website hii mda huu nimetoka kupigiwa simu na Stamina na kuniambia huu wimbo haujatoka kabisa wala hakuwa na plani ya kutoa wimbo huu, Stamina anasema wimbo huu ulikuwa unatakiwa uwe kwenye album na sio wakutolewa. Wimbo ambao alikuwa anatakiwa kuutoa ni mwingine kabisa na utatokawiki ijayo, Stamini anawaomba radhi mashabiki wake kwa kitendo hiki cha kutolewa huu wimbo na mtu asiyemjua kabisa

NOTE: Please wimbo huo usichezwe sehemu yoyote umetoka kimakosa

Source.....DJChoka

No comments:

Post a Comment