expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Monday, November 11, 2013

Picha Za Kitambo Kutoka Kwenye Album Ya Komando Lady Jay Dee Ziko Hapa


 
2003 - Na hiyo ndio cheni ya kwanza ya dhahabu kwa Lady Jay Dee kununua kwa hela yake mwenyewe

 Huyu ni Lady Jay wa Mwaka 2006-2007 ila kwa sasa amekua sana na havai hivyo tena. #Nice

Na marehemu Kiiza Kahama Akiwa Na Komando Jide kwenye mkesha wa mwaka mpya 2000-2001
Huyu ni Jide mwaka 1995 wakati akifanya miondoko ya kufoka foka kabla hajaanza kuimba

No comments:

Post a Comment