Peniela Mwingilwa ‘Penny’.
Penny, chaguo la mama mzazi wa staa huyo wa kibao cha My Number One,
amesema maneno hayo, yanayotafsiriwa kama yupo tayari kuchangia mapenzi
na hasimu wake, Wema Sepetu ambaye amerejesha uhu- siano wake wa
kimapenzi na mwimbaji huyo mpenda vidosho.“Ninampenda Diamond na sitaki
kum- poteza. Nia yangu ni kumuona akiwa na furaha.
Kama Diamond anaona kuna msicha- na mwingine wa kutoka naye na kwake
hilo linampa furaha, basi mimi sina matatizo kwa sababu ninataka awe na
furaha, nitaendelea kuwa naye,” alisema Penny.
Kumekuwa na habari zisizo shaka kwamba Diamond na Wema wamerejesha
uhusiano wao na hivi karibuni walitupia picha katika mitandao ya kijamii
zilizowaonyesha wawili hao wakiwa katika mapozi ya kimahaba huko
Ughaibuni.Ingawa bado Diamond anatoka na Penny, lakini kwa siku za
karibuni amekuwa karibu zaidi na mrembo huyo aliyetwaa taji la Miss
Tanzania mwaka 20
No comments:
Post a Comment