Boss mkurugenzi
kitambi meneja wengi tunamjua kwa jina la OSTAZ JUMA NAMUSOMA mida hi
yuko pale Tabata studio moja inayosimamiwa na Prod Mbezi na wanapika
kitu kimoja matata kabisa. Tukipiga story kwa njia ya simu Ostaz Juma
anasem hadi sasa ananyimbo 3 na huu wimbo wa 3 ambao anaufanya leo
ameamua kumshirikisha NIKKI MBISHI kutoka Lunduno ili kudhihirisha kuwa
bado anaipenda hip hop na hatouacha mziki wa Hip Hop ndio maana ameamua
safari hii kufanya na Nikki. Wimbo huo umepewa jina la NAJITUMA sasa
mimi na wewe hatujajua bado wanachojituma humo ndani so tuendelee
kusubiria.
Pichani ni Ostaz Juma akiwa na Nikki wa Pili mchana wa leo walipokutana.
No comments:
Post a Comment