expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Tuesday, November 4, 2014

Young Killer Feat Fid Q – #13


Young Killer & Fid Q #13
Hii hapa ngoma mpya ya YOUNG KILLER akimshirikisha kaka yako toka Rock City Mwanza FID Q. Ngoma hii ina michano ya kweli sana. Kama wewe ni mpenzi wa Bongo Hiphop na unafuatilia kazi za hawa jamaa, fanya Kubofya hii link hapa chini. Pia naambatanisha na mashairi ya huu wimbo, Enjoy.
http://hu.lk/jv5ctjqy27eo
VERSE 1:
Mama ndie alie nitabiri mi nitakua star na nyota wa kila pande/
Nikiwa na raha.. kwa mwenye hasira nisijigambe/
Usimpige mkeo piga shangwe/
Kwa maana Young killer sio ngazi.. kwa hiyo mwambieni shetani asinipande/
I Think big.. its my dream biggie kuwa/
Bigger wa michano nigga ambaye hata Jigga atanijua/
Kuwa msodoki nawaficha mistari/Upeo wangu umekula mchicha na ndo maana nina fikra za kuona mbali/
Msukuma anae sukuma mitikasi ikatulia/
Hata ‘ Francis Cheka ‘ naweza mpiga panchi akalia/
Wanaoijua njaa ndo wanaamini cha kwanza kilimo/
Mi sijagombania ustar ili nikifa nikazikwe kino/
Wabovu wakichana ‘ IMO ‘ na hawazijui nguzo tano/
Leo kwenye ustar ‘ simo ‘ kisa sina muonekano?/
Mi nina POWER.. ya ibada nilioiomba baada ya kipato/
Pole dada ulie nitosa kisa umenizidi kidato/
Futa jasho na damu saka noti ‘hali tete’ /
Watoto wanamjua Diamond na Joti”” zaidi ya Kikwete/
Popote niko fiti…tega skio/
Shoga hata akitoa jicho vipi…hawezi kuyaona mafanikio..ndio
Chorus:
Ni MSODOKI na NGOSHA.. Miujiza iliyotabiriwa haina haja ya kuogopa/
Nafasi nilizozichezea yawezekana zisirudi/Lakini ninaweza zitengeneza nikiongeza juhudi/
Tangu Agosti tangu April.. YEAAAH.. tangu Agosti tangu April/
Nina Hustle bila wasi wala hofu/ MUNGU wangu hawezi nipa shida ambayo nitashindwa kuisolve
VERSE 2:
Wakisha amini unawahitaji zaidi ya wanavyokuhitaji/
Mapenzi ya ‘ wadau wa mjini ‘ hugeuka ya ‘ samaki na maji ‘/
Uishi ndani yake tu… nje yake uvuliwe/
Kwa msaada wake upikwe kisha yawanawishe.. uliwe/
SIKUUMBWA nije kusettle for less/
Nitaisubiri mvua inyeshe.. nijitokeze kudance/
Nonsense sitemi/ asset sio deni/ HOMEBOY.. natema vitu on point.. jifunzeni/
THAMINI HUU MUDA kabla haujageuka HISTORY/
Part of the PAST dont fit the script for the FUTURE memory/
Niliyoyapitia… yameniandaa kwa haya yajayo/
Sio dalili ya kusinzia.. ni ‘ NJAA ‘ nikipiga mihayo/
MASKINI.. ninajiamini hadi natokwa na ukungu/
Bila ujuzi wasingenithamini.. NINGETOSWA mpaka na ndugu/
Kitachonizamisha sio kudondoka mtoni/
Ni kushindwa kupiga mbizi na kusizi ili msinione…
Ni MSODOKI na NGOSHA.. Miujiza iliyotabiriwa haina haja ya kuogopa/
Nafasi nilizozichezea yawezekana zisirudi/Lakini ninaweza zitengeneza nikiongeza juhudi/
Tangu Agosti tangu April.. YEAAAH.. tangu Agosti tangu April/
Nina Hustle bila wasi wala hofu/ MUNGU wangu hawezi nipa shida ambayo nitashindwa kuisolve
VERSE 3:
FQ-
Napenda umaarufu.. ninachukia MBWEMBWE zake/
Au ninapospit truth kwa booth halafu WAKUSHI hamninyaki/
Ninauacha uchi ‘ UKWELI ‘ uzushi sio mwake/
Hata mkigushi mtafeli.. hamnigusi na hamnipati/
YK-
Siamini nimekua MIMI hadi hii leo nimefika hapa/
Aliyenilea hakuniamini.. niliyemtegemea hakunitaka/
Bila nyinyi.. WADAU.. Ninakili sishiki sarafu/
Na ndo maana sili bata kwa maana BATA WACHAFU/
Kuwa mkali wa kusifiwa.. kubali kutumiwa/
Nilichoambiwa kuwa ‘ sikuhizi hadi wajanja wanaliwa’/
Inatakiwa kuwa STRIKER..Mambo yaende SCHKOPA/
Kama haujanileta.. hauwezi kunirudisha nilikotoka…

Share this:

Mama Wa Kim Kadarshian Mahaba Tele Kwa Serengeti Boy

 Kris Janner Ambae Ni Mama Wa Mwanamitindo Kim Kardashian Kaweka Mambo Hadharani Japo Mwanzoni Kulikuwa Na Uvumi ulioenea Kuwa Ana Mahusiano Na Corey Gamble.


  Lakini Kwa Sasa Kila Kitu Kipo Wazi Kutokana Na Picha Na Sehemu Wanazotembelea Wakiwa Wawili Na Kukaa Kimahaba Zaidi.
  Kris Alipoulizwa Kuhusu Mahusiano Yake Na Corey Alisema Ni Mwanaume Mzuri Mwenye Mapenzi Na Kila Mtu, Ana Mjali Mtu Yeyote ,Sio Mnywaji Na Sio Mtu Wa Kupenda Starehe ,

Licha Ya Kuachana Na Mumewe Bado Ataendelea Kuwa Rafiki Yake Na Anampa Nafasi Katika Familia  Kris Janner Ana Miaka    58 Na Corey Gamble Ana Miaka 41




Monday, June 30, 2014

Mtangazaji Maarufu hapa Bobgo SSebo ajiunga E fm....Soma Zaid

D4S_3487

Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo (pichani)amejiunga na Radio ya E FM ambayo imekwishajizolea umaarufu mkubwa jijini Dsm kwa kipindi kifupi tu kutokana na staili yake tofauti ya urushaji matangazo nchini.
Ssebo mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano kwenye vituo mbalimbali vya Radio na TV amejizolea sifa na mashabiki lukuki katika tasnia hii ya utangazaji kutokana na staili na vituko vyake awapo hewani. 
“Mashabiki wangu watarajie mengi mazuri kutoka kwangu nikiwa na E FM”,alisema Ssebo.Ssebo anakutana na timu ya watangazaji wengine wakongwe kama Dj Majey, Dizzo One na Sos B waliokwisha anza kusikika Radioni hapo.

#‎STAY TUNE NEW VIDEO YA FREDDY SWAGG FT. YOUNG KILLER & KAD GO - MAANDISHI Directed By MSAFIRI SHABANI @KWETU STUDIOS


Saturday, June 21, 2014

KOMBE LA DUNIA: GHANA, GERMANY SARE!...CHEKI MATOKEO ZAIDI

GERMANY_v_GHANA
Miroslav Klose aliinusuru Germany kipigo na pia kufikisha Rekodi ya Ronaldo ya Bao 15 za Magoli kwemyeFainali za Kombe la Dunia baada Jana kuisawazishia huko Estadio Castelao, Jijini Fortaleza Nchini Brazil na kutoka Sare 2-2 na Ghana kwenye Mechi ya Kundi G.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MAGOLI:
Germany 2
-Mario Götze Dakika ya 51
-Miroslav Klose 71
Ghana 2
-Andre Ayew Dakika ya 54
-Asamoah Gyan 63
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI G
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Germany
2
1
2
0
6
2
4
4
United States
1
1
0
0
2
1
1
3
Ghana
2
0
1
1
3
4
-1
1
Portugal
1
0
0
1
0
4
-4
0
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Germany na Ghana zitacheza Mechi zao za mwisho hapo Alhamisi Juni 26 kwa Germany kucheza na USA na Ghana kuivaa Portugal.
Leo Usiku ipo Mechi nyingine ya Kundi G kati ya Portugal na USA.
VIKOSI:
Germany:
01 Neuer
20 Boateng (Mustafi - 45')
04 Höwedes
16 Lahm
17 Mertesacker
05 Hummels
06 Khedira (Schweinsteiger - 70')
18 Kroos
13 Müller
08 Özil
19 Götze (Klose - 69')
Ghana:
16 Dauda
23 Afful
20 Asamoah
11 Muntari
21 Boye
19 Mensah
07 Atsu (Wakaso - 71')
17 Rabiu (Badu - 78')
03 Gyan
09 Boateng (J.Ayew - 52')
10 A.Ayew
Refa: Sandro Meira Ricci (Brazil)
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
JUMAMOSI, JUNI 21, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Argentina 1 Iran 0
F
Estadio Mineirão
2200
Germany 2 Ghana 2
G
Estadio Castelão
0100
Nigeria 1 Bosnia-Herzegovina 0
F
Arena Pantanal
JUMAPILI, JUNI 22, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Belgium v Russia
H
Estadio do Maracanã
2200
South Korea v Algeria
H
Estadio Beira-Rio
0100
United States v Portugal
G
Arena Amazonia
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia v Spain
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands v Chile
B
Arena Corinthians
2300
Croatia v Mexico
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon v Brazil
A
Nacional

KOMBE LA DUNIA: NIGERIA YAIFUNGA BOSNIA 1-0!

NIGERIA_v_BOSNIA
WAKICHEZA huko Arena Pantanal, Mjini Cuiaba Nchini Brazil, Nigeria Jana waliifunga Bosnia-Herzegovina Bao 1-0 katika Mechi ya Kundi F la Fainali za Kombe la Dunia.
Bao hilo muhimu lilifungwa na Peter Odemwingie katika Dakika ya 29 na kuweka matmaini ya Nigeria kutinga Raundi ya Pili.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI F
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Argentina
2
2
0
0
1
1
2
6
Nigeria
2
1
1
0
1
0
0
4
Iran
2
0
1
1
0
1
-1
1
Bosnia
2
0
0
2
1
3
-2
0
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
VIKOSI:
Nigeria:
01 Enyeama
05 Ambrose Emuobo
13 Oshaniwa
10 Mikel
02 Yobo
22 Omeruo
08 Odemwingie
17 Onazi
09 Emenike
18 Babatunde (Uzoenyi - 75')
07 Musa (Ameobi - 65')
Bosnia-Hercegovina:
01 Begovic
13 Mujdza
16 Lulic (Salihovic - 58')
07 Besic
15 Sunjic
04 Spahic
20 Hajrovic (Ibisevic - 57')
8 Medunjanin (Susic - 64')
11 Dzeko
08 Pjanic
10 Misimovic
Refa: Peter O'Leary (New Zealand)
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
JUMAMOSI, JUNI 21, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Argentina 1 Iran 0
F
Estadio Mineirão
2200
Germany 2 Ghana 2
G
Estadio Castelão
0100
Nigeria 1 Bosnia-Herzegovina 0
F
Arena Pantanal
JUMAPILI, JUNI 22, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Belgium v Russia
H
Estadio do Maracanã
2200
South Korea v Algeria
H
Estadio Beira-Rio
0100
United States v Portugal
G
Arena Amazonia
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia v Spain
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands v Chile
B
Arena Corinthians
2300
Croatia v Mexico
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon v Brazil
A
Nacional

KOMBE LA DUNIA: ARGENTINA 1 IRAN O, MESSI AFUNGA MWISHONI!

MESSI_IN_ARGENTINA
LIONEL MESSI Leo amefunga Bao katika Dakika ya 91 na kuipa Argentina ushindi wa Bao 1-0 kwenye Mechi ya Kundi F la Fainali za Kombe la Dunia iliyochezwa Estadio Mineirão Mjini Belo Horizonte Nchini Brazil.
Ira, chini ya Kocha Carlos Quieroz ambae aliwahi kuwa Manchester United, walisimama kidete kuisimamisha Argentina na walipata nafasi ya wao kufunga wakati kichwa cha Ashkan Dejagah  kilipookolewa na Kipa Sergio Romero.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI F
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Argentina
2
2
0
0
3
1
2
6
Nigeria
1
0
1
0
0
0
0
1
Iran
2
0
1
1
0
1
-1
1
Bosnia
1
0
0
1
1
2
-1
0
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
FULECO_NA_BRAZUCA

Baadae Leo, Mechi nyingine ya Kundi F itachezwa kati ya Nigeria na Bosnia.
Argentina wamebakisha Mechi moja na watacheza na Nigeria hapo Jumatano Juni 25.
VIKOSI:
ARGENTINA: Romero, Zabaleta, Garay, Federico Fernandez, Rojo, Gago, Mascherano, Di Maria, Aguero, Messi, Higuain.
Akiba: Orion, Campagnaro, Biglia, Perez, Maxi Rodriguez, Augusto Fernandez, Demichelis, Palacio, Alvarez, Lavezzi, Basanta, Andujar.
IRAN: Alireza Haghighi, Montazeri, Hosseini, Sadeghi, Pouladi, Shojaei, Teymourian, Nekounam, Hajsafi, Dejagah, Ghoochannejhad.
Akiba: Ahmadi, Heydari, Reza Haghighi, Jahanbakhsh, Ansarifard, Hadadifar, Mahini, Alnameh, Rahmani, Beikzadeh, Beitashour, Davari.
Refa: Milorad Mazic (Serbia)
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
JUMAMOSI, JUNI 21, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Argentina 1 Iran 0
F
Estadio Mineirão
2200
Germany v Ghana
G
Estadio Castelão
0100
Nigeria v Bosnia-Herzegovina
F
Arena Pantanal
JUMAPILI, JUNI 22, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Belgium v Russia
H
Estadio do Maracanã
2200
South Korea v Algeria
H
Estadio Beira-Rio
0100
United States v Portugal
G
Arena Amazonia
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia v Spain
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands v Chile
B
Arena Corinthians
2300
Croatia v Mexico
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon v Brazil
A
Nacional

Download na Usikilize ngoma ya Real Rama ft Rose-Bonge la Bishoo_Prod_Double Y

Tazama na Download New Video ya Raph Tz ft Steve RnB - Darasa_Directed by Backamazaa

Friday, June 20, 2014

Huu ndio muonekano mpya wa CHIDY BENZI Ebu Mcheki


















Malinzi Awata Makocha wafanyie kazi mafunzo wanayopatiwa



RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka makocha wa mpira wa miguu wafanyie kazi kwa vitendo mafunzo wanayopata badala ya kuweka makabatini maarifa waliyopata.

Akifunga rasmi mafunzo ya wiki mbili ya makocha wa mpira wa miguu ya Leseni B inayotambuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) jijini Dar es Salaam leo (Juni 20 mwaka huu),

Rais Malinzi amewataka makocha hao kuwapa mafunzo ya awali (basic) walimu wa shule za msingi kwa vile TFF ina mpango wa kuhakikisha kila shule ya msingi nchini inapata mipira kumi kila mwaka.“Kila mwaka tutakuwa na mashindano ya kitaifa ya watoto wenye umri chini ya miaka 13 kuanzia mwaka huu.

Hivyo ninyi makocha huko mnaporudi muwafundishe walimu wa shule za msingi mafunzo ya awali ya ukocha,” alisema. Kozi iliyohudhuriwa na makocha 26 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar ilikuwa chini ya Wakufunzi wa CAF, Honour Janza kutoka Zambia, na Sunday Kayuni na Salum Madadi wa Tanzania.

Janza pia ni Mkurugenzi wa Ufundi wa Chama cha Mpira wa Miguu Zambia (FAZ). Makocha walioshiriki kozi hiyo ni Abdalla Mohammed Juma (Zanzibar), Abdul Banyai (Temeke), Abdul Nyumba (Temeke), Abdulmutik Haji (Zanzibar), Aley Mohammed (Zanzibar), Ali Vuai Shein (Zanzibar), Dennis Kitambi (Morogoro), Dismas Haonga (Ilala), Emmanuel Massawe (Shinyanga), Fikiri Elias (Arusha), Fulgence Novatus (Mwanza), Hababuu Ali Omar (Zanzibar), Juma Mgunda (Tanga) na Kidao Wilfred (Ilala).

Downloud na Kusiliza ngoma mpya kutoka kwa Nakaya-Blessing


MOTO MKUBWA WATOKEA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM). MUDA HUU, WANAFUNZI WAKOSA AMANI ONA MTUKIO YOTE HAPA

Moto uhuu umezuka  karibu na hostel za mabinti katika skuli ya sanaa na lugha (humanities), chanzo cha moto huo hakijajulikana mpaka sasa..... tutakujuza kadri taarifa zitavyozidi kutolewa.






Audio|LINAH ft-DiAMOND-KIZAI(RMX)


Msami na Uwoya uhusiano wao hauleweki umekuwa ni wadanadana sasa...Soma Zaidi

Msanii wa muziki wa bongo flava Msami amemkana kiaina mrembo na msanii wa bongo movie Irene Uwoya akitia ugumu kukubali moja kwa moja kama ni wapenzi.

Msami katika mahojiano na Mamu Africa Blog alikuwa mgumu kukubali moja kwa moja kama wana mahusiano ya mapenzi na Uwoya akisisitiza kuwa mrembo huyo ni zaidi ya rafiki.

Akaenda mbali zaidi akisema mara kadhaa amekuwa analala na Uwoya kitanda kimoja hata siku mbili mpaka tatu lakini wanalala mzungu wa nne.

"Unajua Uwoya ni best friend wangu sana sana,wakati mwingine nakwenda kwake tunapiga stori mpaka usiku,tunaangusha pamoja hata siku mbili tatu kitanda kimoja lakini huwa tunalala mzungu wa nne tu" alisema Msami.

Msami aliendelea kuzunguka kuukubali akitumia neno kwa mfano kama ni wapenzi na Uwoya kukutana kwao ni baada ya kazi zao kwakuwa kila mmoja ana majukumu yake ya kikazi.

"Unajua kwa mfano tuna imagine kuwa Uwoya ni mpenzi wangu,mara nyingi tunakutana baada ya mihangaiko yetu ya kila siku.

Baada ya danadana za hapa na pale na kubanwa hatimaye Msami akakiri kuwa kweli anatoka kimapenzi na Uwoya.

Aidha Msami amesema anashangaa watu wanaosema kuwa Uwoya anatoka na Serengeti boy wakati hawaujui ukweli wa jambo hilo,kwakuwa yeye ana umri mkubwa zaidi ya mrembo huyo.

Amesema amemzidi Uwoya kwa kuzaliwa kwa miezi kadhaa kwahiyo yeye sio Serengeti boy kwakuwa ni mkubwa kwake.

"Nawashangaa watu wanasema eti Uwoya anatoka na Serengeti Boy yaani hata ukweli hawaujui mimi ni mkubwa nimemzidi miezi kadhaa wanasemaje eti ni Serengeti Boy waache hizo" Msami alisema.