Lakini Kwa Sasa Kila Kitu Kipo Wazi Kutokana Na Picha Na Sehemu Wanazotembelea Wakiwa Wawili Na Kukaa Kimahaba Zaidi.
Kris Alipoulizwa Kuhusu Mahusiano Yake Na Corey Alisema Ni Mwanaume Mzuri Mwenye Mapenzi Na Kila Mtu, Ana Mjali Mtu Yeyote ,Sio Mnywaji Na Sio Mtu Wa Kupenda Starehe ,
Licha Ya Kuachana Na Mumewe Bado Ataendelea Kuwa Rafiki Yake Na Anampa Nafasi Katika Familia Kris Janner Ana Miaka 58 Na Corey Gamble Ana Miaka 41
No comments:
Post a Comment