expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Saturday, February 1, 2014

THE RETURN OF THE SUPER MAN NEW AUDIO|BEN POUL TEARSER


FAHAMU:SAKI STARS BAND KUTOKA DODOMA BEND INAYOKUJA KULETA MAPINDUZI KWENYE DANSI TANZANIAA


  
Uongozi wa Bendi muziki wa dansi ya Saki Stars bendi aka Vijana Wa kazi kutoka mkoani Dodoma, umesema kuwa umeamua kufanya muziki kwa kuzingatia ubunifu, tofauti na zilivyo bendi nyingine za muziki huo ili kukamata soko muziki hapa nchini.

Bendi hiyo makazi yake mjini Dodoma inaundwa na wanamuziki kama vile-- Jay Z,Prezdaa Venance, Kibon Mangwela na wengine wengi

MAN UNITED MAJANGA YANAENDELEA, YAPIGWA NA STOKE!

BPL2013LOGO
EVERTON YASHINDA, SPURS YABANWA!
JUMAPILI: ARSENAL v PALACE, WBA v LIVERPOOL!
MATOKEO:
Jumamosi Februari 1
Newcastle 0 Sunderland 3
West Ham 2 Swansea 0
Cardiff 2 Norwich 1
Everton 2 Aston Villa 1
Fulham 0 Southampton 3
Hull 1 Tottenham 1
Stoke 2 Man Utd 1
++++++++++++++++++++++++++

LA LIGA: BARCA YAPIGWA NOU CAMP!


MESSI_v_Ronaldo

LA LIGA sasa ni mshikemshike kweli baada ya Leo Valencia kufanya kweli Uwanjani Nou Camp na kuichapa Barcelona Bao 3-2 na kuwaweka Mabingwa hao kwenye njia panda maana Jumapili Atletico Madrid au Real Madrid zina nafasi kubwa kuwapiku uongozi wa Ligi.
+++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA TIMU P W D L F A GD PTS
1 FC Barcelona 22 17 3 2 59 16 43 54
2 Atletico de Madrid 21 17 3 1 52 14 38 54
3 Real Madrid CF 21 17 2 2 60 21 39 53
4 Athletic de Bilbao 21 13 3 5 41 27 14 42
+++++++++++++++++++++++++++++++

NEW AUDIO | HAFSA KAZINJA- MLALA NJE


NEW AUDIO|JACO BEATS-WALIONUNA PROD.. BERRY K




POLISI WATANO WAFARIKI PAPO HAPO BAADA AJALI YA GARI DODOMA

Baadhi ya wananchi wakiangalia gari hilo, lililopata ajali na kuua askari hao.
 Gari hilo lililopata ajali na kuua askari hao.

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Askari polisi watano mkoani dodoma wafariki dunia papohapo katika ajali ya gari iliyotokea 31/01/2014 majira ya 23.45 hrs katika barabara kuu ya Dodoma – Morogoro eneo la Mtumba Center, Kata ya Mtumba Tarafa ya Kikombo Manispaa ya Dodoma, ambapo gari namba T.770 ABT Toyota Corolla lililokuwa likiendeshwa na Askari namba H. 3783 PC DEOGRATIUS wa Polisi Wilaya ya Kongwa likitokea Dodoma mjini likielekea Wilayani Kongwa liligongana uso kwa uso na gari namba T.997AVW Scania Bus mali ya Kampuni ya Mohamed Trans lililokuwa likiendeshwa na JUMA s/o MOHAMED, miaka 38, Mkazi wa Mwanza, likitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma na kusababisha vifo kwa askari watano papohapo.