DJ RODGER
ABM RADIO
Monday, December 16, 2013
Tuesday, December 10, 2013
Nilimuandikia Matonya Vaileth na Dunia Mapito Ila Hakuwa na Utu - Tunda Man.
.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tunda Man hivi karibu alizungumzia kwa namna alivyokuwa akimtungia nyimbo msanii wenzake wa muziki huo aitwa Matonya na fadhila alizozipata. Akizungumza kwenye kipindi cha The Takeover kinachorushwa na kituo cha TBC fm, Tunda Man alisema, yeye ndiye ambaye alitunga na kuandika nyimbo mbili zilizompa jina Matonya, yaani Vaileth na Dunia mapito, "mimi ndiye ambaye nilitunga na kumuandikia Matonya zile nyimbo, yaani ule wa Vaileth na Dunia mapito". Alisema Tunda Man a.k.a Captain Tunda. "Unajua ni hivi, Vaileth ni jina la dada yangu na nililitumia jina lile kwa sababu hiyo, nilimtungia na kumpa kama mshikaji ila kwa sasa siwezi kufanya hivyo kwa sasa sababu Matonya hana shukurani, japo juzi kati aliniomba nimtungie wimbo". "Unajua binadamu tunatofautiana, hebu fikiria jamaa alishindwa japo kurudisha fadhila hata kwa mama yangu mzazi ambaye kwa kipindi kile alikuwa anatusaidia mimi na mshkaji japo kwa hela ndogo ndogo kama nauli nk. ila baada ya kutoka yote hayo aliyasahau na kuendelea na maisha yake, kweli tenda wema uende zako," alisema Tunda Man huku akiendelea. "Hii wala sio siri na muulize hata yeye na kama atabisha niambie". Mtangazaji wa kipindi Dan Chibo alipomuuliza kwa nini hukuziimba wewe mwenyewe, Tunda Man alijibu, " kwa kipindi kile mimi nilikuwa siimbi sababu nilikuwa siamini kama kwa sauti yangu ningeweza kuwa ni muimbaji, niliamua kumtungia yeye kwa sababu hiyo". Aliendelea kwa kusema "Siku moja nilikutana na mtaalamu mmoja kule Bagamoyo kwenye Chuo cha Sanaa na kunieleza kwamba sauti niliyo nayo ni sauti nzuri na inafaa kwa kuimba, na nikifanya hivyo nitakuja kuwa mwanamuziki mkubwa mwenye sauti ya kipekee, jamaa sitomsahau sababu yeye ndiye aliyenifungua kwenye hili, namshukuru sana" Source...babamzazi.com

Tuesday, December 3, 2013
HIPHOP ISK HIP HOP KNOWLEDGENOWLEDGE
WHO IS MC(EMCEE)-PERSON PRESENT HIPHOP CULTURE,WHO RAP TO INSPIRE PEOPLE WITH WELL WRITTEN CONSCIOUS LYRICS,OR BATTLE......HE IS KNOWN AS MICROPHONE CONTROLLER,MOVING CROWDLY(AUDIENCE)...
ORIGIN..TRACE BACK DURING SLAVERY TIME WHERE BLACK PEOPLE PARTICIPATE IN POETRY DELIVERY THROUGH RYTHMS OVER DRUMS......
CHARACTERISTICS OF EMCEE
.ALWAYS SPEAK THE TRUTH FROM POLITICALLY,SOCIAL(CONSCIOUS)AWARE&PUT IT IN RYHMES
.NEVER RUN THE IDEAS,CAN PASS MIC TO OTHER DURING BATTLE
.REAL MC RESPECT FOR OLDSCHOOL MUSIC AND GET MORE INSPIRED FROM CONSCIOUS IDEA
.KNOW HOW TO FREESTYLE WELL AND COULD DO BATTLE IF THEY WANTED,GIVE THE AUDIENCE A REAL GOOD PERFORMANCE.
.TAKE MUCH TIME READING(REVOLUTIONARIES BOOKNOWLEDGEKS,NOVELS,HISTORY).&THINKING BEFORE PLOT THE IDEAS&WRITE LYRICS
Monday, December 2, 2013
Nash MC atoa maoni yake kuhusu nyimbo za beef zinazoendelea kutoka. Nikki Mbishi, Nay wa Mitego, Kimbunga na Bonta watajwa kama mfano
Kama wewe ni mpenzi wa muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania
utakuwa umesikia mfulizo wa nyimbo kadhaa za rap/hip hop zenye mlengo wa
kushambuliana kati ya ma-MC kadhaa.
Hali hii imepelekea baadhi ya watu kupitia mitandao ya kijamii kudai kuwa nyimbo hizo zimekuwa zinafanana na mipasho, huku wengine wakidai kuwa Majigambo ni sehemu ya muziki huo (rap).
Nash MC ambaye ni moja kati ya wachenguaji wanaoaminika kuwa wanafuata misingi ya hip hop, ametoa maoni yake kupitia kipindi cha ‘The Jump Off’cha 100.5 Times Fm.
“Kwa nini watu wanalalamika kuwa imekuwa kama mipasho, kwanza kabisa hazijakaa kama inavyotakiwa kwenye hip hop zikae hizo nyimbo ambazo watu wanatoleana kwa ajili ya kusemana ama kutusiana… hazijakaa.” Alieleza Nash MC.
“Mi nimesikia Nikki Mbichi ya Kimbunga, nimesikia Nay wa Mitego ya Nikki Mbishi, sasa hivi Bonta ana wimbo unaitwa Mtaani Watu Boo, ambayo ni ngoma inayoelekea kwa Nikki Mbishi moja kwa moja.” Alifunguka Nash MC aka Palestina.
Rapper huyo wa Tamaduni Music alieleza kuwa japokuwa majigambo yanaruhusiwa kwenye hip hop lakini nyimbo zinazotoka Tanzania anaona haziko sawa.
“Nikitazama kabisa naona bado zina mapungufu, bado nyimbo zenyewe zina mashaka. Hata watu wenyewe wanaotusiana, kama Nikki Mbishi kufikia hatua ya kutusiana na Nay wa Mitego ni mbali sana. Mimi leo akitokea MC ambaye naona kabisa sio game yangu siwezi kuchukua muda wangu kukaa chini kuandika wimbo. Japokuwa tunatofautiana jinsi tunavyochukulia vitu lakini mimi Nay wa Mitego hata kama naingia naye kwenye matatizo siwezi kuchukua kalamu na karatasi kuandika wimbo kuhusu Nay wa Mitego, au Kimbunga au Nikki Mbishi.”
“Mimi nachofanya, naangalia amekujaje na amenishambulia vipi ndio narudisha mashambulizi, Tanzania kama inashambuliwa na Marekani haiwezi kurudisha majibu.” Aliongeza Nash MC.
Nay aliuliza swali kama mfano wa mashambulizi ya mashairi, kuwa itakuwaje endapo Tanzania itashambuliwa na Marekani na kuamua kujibu mashambulizi?
The Jump Off inakuwa hewani jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa mbili kamili usiku hadi saa nne kamili, ikiongozwa na Saleh Jabir aka Kuvichaka, Moko Biashara na Dj K_U.

MAAJABU!!HII NDIO MELI KUBWA KUWAHI KUTOKEA DUNIANI NI ZAIDI YA TITANIC,ZAIDI YA ULIZOWAHI KUZIONA .....
Freedom Ship: Meli kubwa kulikozote duniani, kutumika kama jiji linaloelea
Kampuni moja ya
Florida, Marekani imekuja na dhana ya kujenga meli ‘Freedom Ship’,
itakayokuwa na uwezo wa kuwa na kila kitu cha kuifanya iwe jiji
linaloelea kwenye maji.
Wabunifu wa dhana ya meli hiyo wametoa picha za computer za kile wanachoamini meli hiyo itakavyokuwa pindi itakapokamilika.
Roger M Gooch,
mkurugenzi na makamu wa Rais wa kampuni ya Freedom Ship International ya
Florida, Marekani, ambao ndio wenye mradi huo, amesema hiyo itakuwa
ndio meli kubwa kuwahi kujengwa, na jiji la kwanza linaloelea kwenye
maji. ‘The Freedom Ship will be the largest vessel ever built, and the
first ever floating city.’
Uwanja wa ndege utakaokuwa juu ya meli itakayowezesha ndege kuruka na kutua hata wakati meli inatembea
Gooch, Amesema
kampuni yake inajaribu kukusanya kiasi cha £6 billion zinazohitajika
kuifanya ndoto hiyo iwe kweli, ambayo mpango wake umekuwepo kwa miaka
mingi.
“But in the last
six months we’ve been getting more interest in the project and we are
hopeful we will raise the $1billion (£600million) to begin
construction.’ The ship would spend 70 per cent of its time anchored off
major cities and the rest sailing between countries” Aliongeza.
Freedom Ship, itakuwa na huduma zote za jiji kama Shopping center, shule, hospitali, uwanja wa ndege, casino, parks nk.
Meli hiyo
inayotegemewa kuwa na ghorofa 25, itakuwa na uwezo wa kuwapa makazi ya
kudumu watu 50,000, lakini itakuwa na nafasi ya ziada ya kupokea wageni
wengine 30,000, makazi 20,000 ya wafanyakazi wa meli, na mengine 10,000
kwaajili ya wageni wa usiku mmoja.
Hii ndio njia inayotarajiwa kutumiwa na meli hiyo kuizunguka dunia
Meli hiyo
inatazamiwa kuwa inazunguka dunia nzima nchi moja hadi nyingine, bara
moja hadi linge na itafika hadi Afrika, na haitakuwa ikikaa sehemu moja
kwa muda mrefu.
Itakuwa na makazi ya watu 50,000 pamoja na makazi ya wageni 30,000 na
makazi 20,000 ya wafanyakazi wa meli, na mengine 10,000 kwaajili ya
wageni wa usiku mmoja.
Meli hiyo itakuwa
na huduma zote za muhimu zinazopatikana katika majiji mbalimbali
zikiwemo hospitali, shule, maduka, parks, casino, aquarium, kiwanja cha
ndege chenye njia ya kuruka na kutua ndege ndogo zenye uwezo wa kubeba
watu 40, kitakachokuwa juu kabisa kwenye paa la meli hiyo.
Meli hiyo itakuwa ikitumia umeme wa solar pamoja na wave energy.
Itakapokamilika,
jiji linaloelea litakuwa na upana wa 750ft, urefu wa kwenda juu350 ft,
pamoja na urefu wa 4,500 ikiwa ni mara nne ya Queen Mary II Cruise ship
iliyokuwa na urefu wa 1,132ft.
Wageni na wenyeji wanauwezo wa kuondoka na kuingia kwenye jiji hilo la majini kwa ndege au boti
Meli hii
inatarajiwa kugharimu dola bilioni 10 mpaka kukamilika kwake, na itakuwa
na uzito wa tani milioni 2.5, lakini kwa sasa bado ni dhana (concept).
Thursday, November 28, 2013
Fat Joe atoka jela baada ya kutumikia kifungo cha miezi mitatu kwa kosa la kukwepa kodi
Rapper Joseph Cartagena aka Fat Joe ametoka jela jana
(November 28) alipokuwa akitumikia kifungo cha miezi minne kutokana na
kosa la kukwepa kulipa kodi.
Joe (42) jana alipost video Instagram akimsurprise binti yake baada ya kurejea nyumbani.
Rapper huyo aliyeanza kutumikia kifungo hicho (August 26) ametolewa jela mapema zaidi baada ya kukaa ndani kwa miezi mitatu tu.
Fat Joe alikuwa akituhumiwa kwa kukwepa kulipa madeni ya kodi yanayofikia $ 1 million yakiwa ni malimbikizo ya miaka miwili.
Kifungo hicho cha miezi minne kiliambatana na faini ya $15,000 pamoja na usimamizi maalum wa mwaka mmoja baada ya kutoka jela.

Wimbo wa STAMINA ft. CRISS WAMARYA “Mngekuwepo” umetolewa kimakosa bila ruhusa ya Stamina
Wimbo wa Stamina Ft Criss Wamarya unaoitwa Mngekuwepo umetoka kimakosa, jana wimbo huu uliwekwa hapa katika website hii mda huu nimetoka kupigiwa simu na Stamina na kuniambia huu wimbo haujatoka kabisa wala hakuwa na plani ya kutoa wimbo huu, Stamina anasema wimbo huu ulikuwa unatakiwa uwe kwenye album na sio wakutolewa. Wimbo ambao alikuwa anatakiwa kuutoa ni mwingine kabisa na utatokawiki ijayo, Stamini anawaomba radhi mashabiki wake kwa kitendo hiki cha kutolewa huu wimbo na mtu asiyemjua kabisa
NOTE: Please wimbo huo usichezwe sehemu yoyote umetoka kimakosa
Source.....DJChoka
Thursday, November 21, 2013
BREAKING NEWZZ....P-SQUARE WASHATUA BONGO..CHEKI PICHA....
Wale wakuitwa mapacha wawili P-SQUARE usiku huu wameshatinga ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa kishindo kikaliiiiiiiiii hahahaaa #hadiRAHA sasa hiyo kesho Jumamosi pale viwanja vya Leaders Club ndio patachimbika. Wasanii kutoka bongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Prof Jay, Lady Jay Dee, Joh Makini na Ben Pol.
Monday, November 18, 2013
TAZAMA PICHA Nick WA PILI ALIVYOGRADUATE PALE MLIMANI
Nick akiwa na Mwanachuo mwenzake
Nick akiwa na Dj Choka na kaka yake Joh makini
Saturday, November 16, 2013
Monday, November 11, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)